Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia

1960 - Angelique Kidjo. Mwimbaji mashuhuri toka nchini Benin anazaliwa.

Mkuu Obe baadae ukitulia ntaomba ile ngoma yake inayoitwa Agolo (sina hakika na spelling)

Asante kwa hii info kuhusu Kidjo, ni mshindi wa Grammy huyu na anatajwa sana kuwa ni mwanamuziki maarufu zaidi Africa, anaishi US

Nilimuona akiimba Davos kwenye mkutano wa 'likes' kwenye jukwaa la uchumi. Napenda Wombo Lombo leo nitarusha hiyo Agolo.

Yeye na Youssou ni wanamuziki wanaonivutia sana

BTW, 'mkuu' sio mimi (joke) mimi ni mdau, mtaasisi na ili usichoke sana refer me as Obe
 
84ad9de67fa09e135f901d4e329459d6.jpg
b2b44a8b8e39196fd3b08904be316bdc.jpg
9c46f7d5c8b0075f4d9c67ee2b503198.jpg

Mdau One soma ombi halo
......
 
Asante kwa hii info kuhusu Kidjo, ni mshindi wa Grammy huyu na anatajwa sana kuwa ni mwanamuziki maarufu zaidi Africa, anaishi US

Nilimuona akiimba Davos kwenye mkutano wa 'likes' kwenye jukwaa la uchumi. Napenda Wombo Lombo leo nitarusha hiyo Agolo.

Yeye na Youssou ni wanamuziki wanaonivutia sana

BTW, 'mkuu' sio mimi (joke) mimi ni mdau, mtaasisi na ili usichoke sana refer me as Obe
Hahahahaha basi sawa Obe. Kama hutajali leo tupia zote mbili maana zote nazielewa sana

Dj Obe (in Ximena's voice)
Cant wait
T G I F
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom