Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Ameni ubarikiwe[emoji524]1WATHESALONIKE 5
17.Ombeni bila kukoma
Tunakumbushwa kuomba.
Tusiache kuomba.
Omba kazini,Nyumbani,
Safarini,Shambani,kwenye biashara,hospitali,Ukiwa na shida,Ukiwa na raha popote unapokuwa.
Kuna nguvu katika maombi.
Omba mpaka unachokiombea kitokee wala usikate tamaa.