Na tutakuignore kweli kwa sababu hamna mtu mwenye mda wa kubembelezana ...ukijiona star watafute star wenzako
muzee kumbe shunie yupo deep spiritual
Acha uchochezikwakwaaaa lee ww noma sana, kutokuwepo muda humu kulinikosesha mengi duu..
Mimi hii hali nimeikuta asubuhi na sio mara ya kwanza kuona kitu kama hicho ...sijajua mantiki ya wewe kutumia neno mjinga....Sina cha kuongea kila mtu na mtazamo wake lee endeleeni tu kujibishana ila jibu la mjinga ni kumkalia kimya hatakuwa na wa kujibishana nae mwisho wa siku anakaa kimya
WasalimieTutaonana badae muwe na siku njema
Mama ake kashampatia mikobamuzee kumbe shunie yupo deep spiritual
Amina shem wane1WATHESALONIKE 5
17.Ombeni bila kukoma
Tunakumbushwa kuomba.
Tusiache kuomba.
Omba kazini,Nyumbani,
Safarini,Shambani,kwenye biashara,hospitali,Ukiwa na shida,Ukiwa na raha popote unapokuwa.
Kuna nguvu katika maombi.
Omba mpaka unachokiombea kitokee wala usikate tamaa.
No inabidi ifike pahala tuheshimiane kila mtu humu ndani. .kwakwaaaa lee ww noma sana, kutokuwepo muda humu kulinikosesha mengi duu..
Sawa shem wane kuwa makini tuTutaonana badae muwe na siku njema
Acha uchochezi
Hii Tanzania ni inchi ya ujenzi wa viwanda au kauli mbiu ya mweshimiwa hujaielewaViwanda wapii mkuu
Nimeipenda hoja yako ila kumbuka UTAFITI HEWA unafanyika bila majibu yaliyo kamilikaHuu utafiti wa leo ni hewa kweli. Mi nakubaliana na wale wanaoongozwa na mwili sababu najua akili tulizonazo ni za kupewa na jamii kitu ambacho kwangu sio sawa.
Mwili wako ndio rafiki yako kwa kweli na siku ukiamua kuutii japo kwa 80% basi maisha yako yatabadilika hadi utashangaa.
Kuna sababu kuwa kwanini tunazuiwa kuitii miili yetu. Sababu hizo ni pamoja na za kiimani na kiutawala. They know exactly kitakachotokea pale tutakapokuwa tunaitii miili yetu.
Rafiki yako wa ukweli hapa duniani ni mwili wako tu, haujawahi kukuangusha na hautakuja kukuangusha no matter what
Chikamooo mkuuMorning fam
Tangu lini tukatekeleza tunayoyasemaa??Hii Tanzania ni inchi ya ujenzi wa viwanda au kauli mbiu ya mweshimiwa hujaielewa
Sijajibu kwa nia mbaya mm mwenyewe sipend haya yanatokea kabisa nimecheka tu jibu la lee BTW hii mada tuifunge..

Nini tena dadaMorning wapenzi
jamaan
Kuna vitu vinasikitisha sana humu yaan sana wote humu ni watu wazima ukiona mtu hupendezwi na mwenzako kaa kimya muignore tu jamaan utapungukiwa na nini niliingia jana usiku nikaona na nikapita kimya naona leo vinaendelea
Daa ila me nina roho ya peke yangu jamaan hata unipige fumbo hapo nakupotezea tu kama sijaona
Muwe na siku njema
Chikamoo dingiAsubuh njema na ijumaa njema yenye baraka tele kwenuView attachment 541820 wana makapuku