Makapuku Forum

Makapuku Forum

TOP TEN
Una wapenzi wengi ?
Mimi sijui na sihitaji kujua ila nasikia kwa vijana ndo ujanja
Zamani mtu akiwa na UKIMWI ilikuwa sio siri maana angeharisha,angekohoa kutwa nzima,angetoka mapele,angekuwa na ukurutu,angekpnda
Ila nowadays kuna dawa za kupunguza makali {ARV) kumjua mwenye ngoma au asiye nao ni ngumu.....watu wanaungwa kwenye grid ya Taifa bila kujijua

Sasa tuangalie nchi kumi zenye watu wengi wanaoishi na VVU

NB.
Kigezo siyo % bali idadi hivyo kinara wa VVU duniani kwa % ni Swaziland ila hayupo sababu nchi yao ni ndogo kwa idadi ya watu
Karibuni
.......
Aisee
 
10/Russia
c545a918b479cada43ed2901a93ed4a8.jpg
1efa64842ef7d0040a53068dbbcd0e24.jpg

Ni Taifa kubwa duniani kiuchumi,kijeshi n.k
Ni nchi yenye idadi kubwa ya watu takribani Milioni 145...Ni miongoni Nchi kumi zenye watu wengi duniani na wanaongezeka tu
Nani kasema UKIMWI ni wa watu weusi tu ? Hata Wazungu wanao
Warusi takribani 950,000 wana ngoma
.....
Mmmmh
 
9/USA
33ce3b1fe0077d19c912d013cebdecb0.jpg
8f92d18ea33ee8f68031957e7fd5eb5f.jpg

Marekani pia hachomoki
Pamoja na ngebe na kujiona wao ndo kila kitu duniani ila jamaa nao wanakanyaga tu miwaya kama Waafrika
Donald Trump anaongoza taifa lenye watu zaidi ya 320,000,000 siyo kazi ndogo
Weusi ndio walioathirika zaidi mfano Arthur Ashe ambaye alikuwa ni staa mweusi wa tenisi ni miongoni mwa waathirika wa mwanzo mwanzo ila siku hizi mastaa kibao tu wana ngoma
Kama mnavyojua watu weusi bangi,pombe,ngono ndo vitu tunavyovimudu
Wamarekani takribani 1,200,000 wana VVU
........
 
1/South Africa
448f53d4d47a02565ed46bf041674aa9.jpg
f1fdb81e226b1bd02d81050f60da9b5d.jpg
c4c1da53ff6a56575a01e477230c99c7.jpg

List ingeishaje bila Mzulu kuwepo ?
Kwa % ya maambukizi ya VVU duniani anazidiwa na Swaziland na Lesotho pekee ila kwa idadi ya waathirika hakunaga kama Sauzi
Wasauzi wapo takribani 55,000,000 kwa idadi ya watu
Huku watu 5,600,000 wakiwa na ngoma yaani tusemetu 10%
Sasa wewe nenda na kiherehere chako kadate na Mzulu ......utajiju !!!
.
.
.
.
.
.
Baadaye kidogo wadau
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
 
1South Africa
448f53d4d47a02565ed46bf041674aa9.jpg
f1fdb81e226b1bd02d81050f60da9b5d.jpg
c4c1da53ff6a56575a01e477230c99c7.jpg

List ingeishaje bila Mzulu kuwepo ?
Kwa % ya maambukizi ya VVU duniani anazidiwa na Swaziland na Lesotho pekee ila kwa idadi ya waathirika hakunaga kama Sauzi
Wasauzi wapo takribani 55,000,000 kwa idadi ya watu
Huku watu 5,600,000 wakiwa na ngoma yaani tusemetu 10%
Sasa wewe nenda na kiherehere chako kadate na Mzulu ......utajiju !!!
.
.
.
.
.
.
Baadaye kidogo wadau
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
Asante
 
...lazima iniume, unajua nini kiliendelea kule, tumekula na tumekunywa basi si ndo story za siku zikaanza, jamaani yaani kweli ni siku yake ikaanza baada ya kuwa amekula.
Hicho kipengele huwa sikipendiiii cha siku kuanza ghafla wakati inajulikana siku uanza mapema alfajirii ...

Ila navokujua ulibisha kama siku imeanza au imeishaa
 
6/Tanzania
b5e9862b99de48f07f6b30cd90f18375.jpg
c16a4b256f13497398534296038f03b9.jpg
0433b3e24ac3860e534d8b6e28132747.jpg

Ferouz aliimba Starehe zimemponza .....Mwanafalsafa akaimba Alikufa kwa ngoma Komba nae pia akaimba kivyake
UKIMWI ni janga Tanzania binafsi ni mtu wa Green City na nimezika ndugu wengi kutokana na hili janga ambalo kwa Tanzania Mbeya ni miongoni mwa vinara....Wanyaki kwa kupenda ngono nafikiri wanajulikana ila pia sababu nyingine ni ya Kijiografia
Kwa wasanii Twanga Pepeta wamepukutishana wenyewe kwa wenyewe kutokana na kupasiana nasikia kuanzia BanA,Aisha Madinda,Diana Aston Villa,Abou Semhando wote walikuwa na ngoma huku Ally Chini mzee wa mafarasi naye nasikia humo
Tanzania ina idafi ya watu zaidi ya Milioni 50
Watanzania zaidi ya 1,400,00 wamejiunga grid ya taifa
.......
Kumbe hali ni mbaya hivi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom