Ngoja nimpe somo Obe akunyamazishe... Utatulia tu weweMwanamke umbea kusutwa suna
Hilo jina hulioni ?halafu mimi ni babu yake Shunie na wewe si ni sawa na babu yako..... Nimezeeka kwelikweliKwani ww ni mzee![]()
![]()
![]()

Akina nani hao tena?Achana nao bae... Mate yasikurukieee
Wapi huko Mkuu?Niko kwa kina Bitoz huku..
Huu mji unatakiwa kupanuliwa sana..sio kwa foleni hii..
Hivyo ndio ulivyofunzwa, kwenu ukifika sehem unaropoka bila salaam.
BTW
Uzi wa, malikes unaweza kukufanya kua tajir
Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
-Mond-

Shikamooo babuHilo jina hulioni ?halafu mimi ni babu yake Shunie na wewe si ni sawa na babu yako..... Nimezeeka kwelikweli![]()
![]()
![]()

WasambaaAkina nani hao tena?
poa Jimena, uwepo wako Jukwaani unanibariki sana.Poa. Mambo vp?
Hujajiua tuu mzeeAkina nani hao tena?
Ha ha ha ha ha ha ha ha..... Yaaani Sakayo kweli unataka... Badala ya kuntoia ndodo ndodo Ukunda njikome. Haya bwana ...naona Umekuwa adui yangu siku hizi.Jiue tuu
Si vizuri... HaipendeziAhahhaha kwahiyo kaka na dada hawawezi kutaniana nimecheka tu
Lianzishe...... آيش خبر ليومPunguzeni basi..
Au na mimi nianze kuandika kiarabu huku..?
Hmm.... Wavyee inywi. ....mzaituka chinjachinjaNdioo Dada tumzike kabisa