Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
1/South Africa![]()
![]()
![]()
List ingeishaje bila Mzulu kuwepo ?
Kwa % ya maambukizi ya VVU duniani anazidiwa na Swaziland na Lesotho pekee ila kwa idadi ya waathirika hakunaga kama Sauzi
Wasauzi wapo takribani 55,000,000 kwa idadi ya watu
Huku watu 5,600,000 wakiwa na ngoma yaani tusemetu 10%
Sasa wewe nenda na kiherehere chako kadate na Mzulu ......utajiju !!!
.
.
.
.
.
.
Baadaye kidogo wadau
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........

Muziki: Jumatano ya Majoka
Ni siku nzuri kabisa kwa kila mmoja hapa (hata kama ni mbaya mimi najiaminisha tu kuwa umekuwa na siku nzuri), kwani uongo jamani, si wote ni mashuhuda hapa KF kumechangamka utasema mtindi uliotiwa ndimu. Vitu vingine havijaribiwi, na kwa kuwwa wewe u sehemu ya makapuku basi Jukwaa hili ni sehemu bora kabisa kuwepo. Mimi nipo, wewe pia, na yule asiyekuwepo bado akija hatokosa kitu.
Ni furaha kuonana kila mmoja akiwa amechangamka, kuna vingi vinavyochangamsha na ukichangamshwa vinachangamka na vingine vinasisimka. Unajua nini, uchangamfu ni jambo zuri kwa sehemu yake na inapotokea unachangamka kupitiliza basi wengine watachangamka kupita kiasi. Asante sana kwa mzeewakungoa kwa kulichangamsha Jukwaa leo, you rock! Kile sijui ni kilugha gani me nikaishia maneno utamu na sikukunda, anyway.
Muziki sasa, mnajua pale mwanzo nilitaka kutunuku wimbo kwa husna muba , huyu ni mtu muhimu kwangu, ikiwa hujui jua hilo. Baadaye nikapata ombi la Sakayo ambalo namshukuru sana Transcend kwa kutupia wimbo wa Z-Anto kijana wa Kigamboni. Well, nimetafakari nikagundua kutokana na kibaridi hiki wengine kuoga mtihani, ni mwemndo wa pasport tu. Sasa husna muba nitamtunuku wimbo siku kila mmoja akiwa ameoga mwili mzima.
Kujiandaa na kuoga mwili mzima lazima uchangamke na ninakuchangamsha kwa chaguo la anko wangu lee empire akiungana na pedeshee mwenzake Koffi Olomide, Mopao muzee ya batoto anahgawa cheni za gold wewe gawa shanga zifuliwe kwa foma gold.
Nakupenda Kapuku mwenzangu na unalijua hilo. Burudika
NB: Nawashukuru wote ambao mnakuwa na nafasi ya kupendekeza wimbo, heshima kwenu sana
HapanaAuntie JJ![]()
Not to that extentDada tuliza mshono..
Mkuu..Ewaaaaaaaaaaaaaaah
Thanks binamu ubarikiwe ...in mama mchuchus voice
EwaaaaTwende bafuni hebu...
Nina hamu ya kuogesha mtu leo..
Nisamehe mke wangu....Not to that extent
Sawa ShemelaNampenda aisee
Hataki kuja tuunganishe mapendo nabaki mpweke tu humuBinamu yupo mbona mtafute
Acha hizo bhanaNakumumbuka siku ile ulivyokuwa unaleft..
![]()
Jamaa nomaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
Kofi hajawahi kukosea
Asantee mamaYOHANA MTAKATIFU 3
16.Kwamaana jinsi hii MUNGU aliupenda ulimwengu ,hata akamtoa mwanawe wa pekee,ili kila mtu amuaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele
ASANTE BABA KWA UPENDO WAKO KWETU..PENDO LAKO KWETU HALILINGANI NA JAMBO LOLOTE.AMEN
NAWATAKIA JIONI NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Eti kaka usambaani kuna bomba la maji motoNimekuja sakayo
Muziki: Jumatano ya Majoka
Ni siku nzuri kabisa kwa kila mmoja hapa (hata kama ni mbaya mimi najiaminisha tu kuwa umekuwa na siku nzuri), kwani uongo jamani, si wote ni mashuhuda hapa KF kumechangamka utasema mtindi uliotiwa ndimu. Vitu vingine havijaribiwi, na kwa kuwwa wewe u sehemu ya makapuku basi Jukwaa hili ni sehemu bora kabisa kuwepo. Mimi nipo, wewe pia, na yule asiyekuwepo bado akija hatokosa kitu.
Ni furaha kuonana kila mmoja akiwa amechangamka, kuna vingi vinavyochangamsha na ukichangamshwa vinachangamka na vingine vinasisimka. Unajua nini, uchangamfu ni jambo zuri kwa sehemu yake na inapotokea unachangamka kupitiliza basi wengine watachangamka kupita kiasi. Asante sana kwa mzeewakungoa kwa kulichangamsha Jukwaa leo, you rock! Kile sijui ni kilugha gani me nikaishia maneno utamu na sikukunda, anyway.
Muziki sasa, mnajua pale mwanzo nilitaka kutunuku wimbo kwa husna muba , huyu ni mtu muhimu kwangu, ikiwa hujui jua hilo. Baadaye nikapata ombi la Sakayo ambalo namshukuru sana Transcend kwa kutupia wimbo wa Z-Anto kijana wa Kigamboni. Well, nimetafakari nikagundua kutokana na kibaridi hiki wengine kuoga mtihani, ni mwemndo wa pasport tu. Sasa husna muba nitamtunuku wimbo siku kila mmoja akiwa ameoga mwili mzima.
Kujiandaa na kuoga mwili mzima lazima uchangamke na ninakuchangamsha kwa chaguo la anko wangu lee empire akiungana na pedeshee mwenzake Koffi Olomide, Mopao muzee ya batoto anahgawa cheni za gold wewe gawa shanga zifuliwe kwa foma gold.
Nakupenda Kapuku mwenzangu na unalijua hilo. Burudika
NB: Nawashukuru wote ambao mnakuwa na nafasi ya kupendekeza wimbo, heshima kwenu sana
Kanye tumbakuMkuu..
Hilo neno la Ewaaaaaaaa...!
Naomba liache manake sakayo huwa ana muda wa kulitamka..
Sasa ukilitamka najisikia kuchekaaa..
HahahaNimeona tu wasambaa wana sifiwa kwa mambo yao ila ukweli ni kuwa mi kule siwezi kuoa mke
Ewaaaaaaaaaaaaaaah