TOP TEN
Una wapenzi wengi ?
Mimi sijui na sihitaji kujua ila nasikia kwa vijana ndo ujanja
Zamani mtu akiwa na UKIMWI ilikuwa sio siri maana angeharisha,angekohoa kutwa nzima,angetoka mapele,angekuwa na ukurutu,angekpnda
Ila nowadays kuna dawa za kupunguza makali {ARV) kumjua mwenye ngoma au asiye nao ni ngumu.....watu wanaungwa kwenye grid ya Taifa bila kujijua
Sasa tuangalie nchi kumi zenye watu wengi wanaoishi na VVU
NB.
Kigezo siyo % bali idadi hivyo kinara wa VVU duniani kwa % ni Swaziland ila hayupo sababu nchi yao ni ndogo kwa idadi ya watu
Karibuni
.......