Makapuku Forum

Yaani leo ndo nimejibiwa hilo swali, nimeuliza mara kadhaa huwa sijibiwi zaidi ya kuulizwa maswali zaidi.
Nashukuru, kumbe nami hili jukwaa ni langu maana topic kadhaa hapo juu zinanihusu! Kwa lugha nyingine hili jukwaa ni summery ya jf!
Okei, nimekupata mkuu!
 
Kuna mmoja kashatekwa humu aisee ila umenichekesha sana.."Ngoma ya watoto haikeshi maana hawajui walifanyalo" Wait and see
Mpotezee

Na tumtakie kila la kheri na aishi maisha alivojichagulia kwa utashi wake mwenyewe

Sisi tulikuwepo,tupo na tutaendelea kuwepo hadi pale Mwenyezi Mungu atakapoamua kutupumzisha mmoja mmoja
God bless Makapuku !!!
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…