Makapuku Forum



Am flattered, nashukuru aunt yangu wa ukweli. Furaha yako anaifurahia anko wangu na Mimi ndo nafurahia pia.

Mwenyewe zama za kina Mzee Jangala so utajua kabisa rtd ndo ilikuwa mpango mzima.
Nakupenda pia, sana tu na hasa unaponihakikishia kwenda kuleee (sipataji maana nishaanza kupata wasiwasi watu watatangulia kabla yetu)
 
Asante Obe....OOOH MOLA NIPE UWEZO.......HIVI DIOUF YUPO WAPI JAMANI?KITAMBO

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Binamu kule hamna wa kuwahi wa kwanza ni wa kwanza tu niamini me tutaenda na safari ipooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…