Makapuku Forum

Makapuku Forum

3/Doubledick Dude
6b9410e6e9de2ea6cca1f6537ed24e6c.jpg
a48716283b7ecc8173571154aab735e2.jpg

Jamaa alizaliwa na uume miwili na kuamua kujiita Doubledick Dude na kupata umaarufu mkubwa na furushi la followers kwenye mitandao ya kijamii
Sio tu kwamba anazo mbili bali pia zote zinapiga mzigo wa maana hivyo anaweza kuzitumia zote kwa pamoja demu ukizubaa shauri yako anatumbukiza mbili !!!
Kila mzigo wake ukichachamaa unafika inchi 7
Hali hii inajulikana kama Diphallia na dunia nzima kuna case takribani 100
......
Aiseeeee

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
5/Kangkang
0845761a06f009f65e6defb4537c91b6.jpg
7b5c231f92ff0ecc6c4cb5c245844cbd.jpg

Huyu dogo alizaliwa uso wake ukiwa na sura mbili ukisema ana uso pea mbili pia hujakosea
Ukimwangalia vibaya unaweza kufikiri amevaa kinyago mask ila ndiyo alivyoumbwa
Na sasa keshavuka mwaka mmoja na anadunda tu
........
Acha Mungu aitwe Mungu [emoji120]

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Alinambia atakuja leo jamani...

Mkuu Bitoz unaanzaje kuzinguaana na mtu usiyemjua jamani... Nikiona mtu anataka kuzingua huwa naondoka tu taratibu....
Mwanzo wakari najiunga JF sikujua kwamba wakorofi wamejaa Hivyo mizinguano ikawa kibao

Nowadays sihangahiki nao na sina muda wa kupoteza
Mtu anitusi,nikebehi,fanya hiki na kile naignore tu

Nitapungukiwa nini?
......



 
Back
Top Bottom