Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi nikimwendea mtu pm kweli huwa siwezi kumtongoza, mtongozano ni hapa kweupeee na yanaishia hapa hapa
Mi km nimempenda mtu najilipua tu sinaga huo uwoga kukubaliwa na kukataliwa yote ni majibu
Akinikataa sinaga visa wala mnuno nae tutachat km kawa
Akinikubali mambo yetu pia yataishia huko huko

.
Kuhusu mbembelezo sina hata mwenzetu yule anayetaka abembelezwe km mfalme kamwe asitarajie mimi kumquote labda aanze yeye kuniquote
Kwangu mimi mtu pekee ninayembembeleza ni yule aliyenipa "ile heshima" ambayo siyo kila mtu anampa
..............
 
TOP TEN
Mungu huwa hakosei kuumba ?
Mimi sijui na lengo langu sio kumkosoa wala kumuhoji Mungu ila tu kuwaletea watu ambao walizaliwa isivyo kawaida
Binadamu wa kawaida ana meno 32 ,miguu na mikono miwili,pua moja,mdomo mmoja masikio mawili,figo mbili,mapafu mawili,ini moja,uke/uume mmoja n.k
Ila wapo wale wanaozaliwa na viungo vya ziada mfano vidole zaidi ya 5 ,mapafu matatu n.k

Sasa leo nakuletea watu 9 walizaliwa na viungo vya ziada na kuishangaza dunia
Karibuni
.........
 
9/Hazel Jones
d8b33b5dda7df285bc613bea06273108.jpg
2f24682c0af169ea6426dd0363eb50f4.jpg

Demu Huyu alizaliwa na uke pea mbili
Huyu alisumbuliwa ugonjwa wa kushangaza wakati anakaribia kuvunja ungo na akajikuta anapata hedhi mfululizo kama mvua za masika
Anatokea huko High Wycombe nchini Uingereza
Tatizo lake linajulikana kama Uterus Didelphys yaani pia ana vyumba viwili vya uzazi
Alipoambiwa na dokta kwamba ana uke na vyumba vya uzazi pea mbili akamjibu abajisikia fahari japo unahitaji mtu antoe bikra kote kote......mi simo nasema simo !!
........
 
8/George Lippert
a2c9260ceead33c37d654559a3d8cd5d.jpg
87df7bb7be7af1dc80065b8394011e69.jpg

Huyu George jamani kapendelewa
Alizaliwa mwaka 1844
Alizaliwa akiwa na miguu mitatu na mioyo miwili lakini ilipofika siku ya kufa haikufua dafu mioyo yote injini zilisimama na nshua akavuta kama wengine tu wenye moyo mmoja!!
Huyu jamaa hakujua kama ana mioyo miwili tena iliyo futi hadi mwaka 1906 alipoenda hospitali na Daktari kumtonya ana moyo wa ziada
Miguu yake yote mitatu ilikuwa mizima na jamaa ukimchokoza utakula mateke zaidi ya shukrani ya punda.....Huyu ndo bwana Lippert
Miguuni jumla alikuwa na vidole 16
Hadi leo jamaa rekodi zake bado ni funika bovu labda zivunjwe na wanyama wengine ila siyo binadamu
........
 
7/Alfie Clamp
ed589af547f136e074ebf35e91f9f0ce.jpg
cc6d262ea128d23e5a63f718f33ec8a1.jpg
Karibia kila aliyesoma Biology japo Form Two anaelewa maana ya DNA
Huyu dogo alizaliwa mwaka 2010 akiwa na Extra strand DNA tuseme ana DNA zaidi ya pea mbili
Alizaliwa akiwa kipofu(mlemavu wa macho), pia Alikuwa na ulemavu mwingine kibao hivyo kuwalazimu Madaktari wamfanyie uchunguzi uliopitiliza
Mwisho wa siku wakambamba dogo ana DNA ya kushangaza ambayo haipatikani popote pale duniani (angalia picha)
Hayo ndo maajabu ya dogo Alfie
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom