Makapuku Forum

Makapuku Forum

0b51ef83a429c6c81eedb7e803c2ee3a.jpg
 
Na ukiona mtu anabembeleza penzi huyo naye ni "mtu mdogo"
Ukiona thread inabembeleza watu wapost hiyo pia ni thread ndogo
Ukiona mtu anabembeleza urafiki huyo pia ni "rafiki mdogo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa mawe, acha mie niendelee kubembeleza kwa jj, nampendaje[emoji23] [emoji23]
Mambo vipi lkn mkuu!
Jimena
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee wa mawe, acha mie niendelee kubembeleza kwa jj, nampendaje[emoji23] [emoji23]
Msmbo vipi lkn mkuu!
Jimena
Nipo

Sinaga hizo bembeleza
Hata hapa KF huwezi nikuta kabisa sababu ndo uhalisia wangu
Nikimzimia mtu kweli huwa namwibukia PM tu na tutamalizana huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
 
Sinaga hizo
Hata hapa KF huwezi nikuta kabisa sababu ndo uhalisia wangu
Nikimzimia mtu kweli huwa namwibukia PM tu na tutamalizana huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Mimi nikimwendea mtu pm kweli huwa siwezi kumtongoza, mtongozano ni hapa kweupeee na yanaishia hapa hapa
 
Nipo

Sinaga hizo bembeleza
Hata hapa KF huwezi nikuta kabisa sababu ndo uhalisia wangu
Nikimzimia mtu kweli huwa namwibukia PM tu na tutamalizana huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
........
Kwa status yako as presida wa kf ukianza kutongoza hadharani ni kujishusha hadhi, sisi ni raia hatuna cha kupoteza, acha tuoane, wewe tongoza wake zetu pm, wakikupa ni juu yao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom