BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Punguza wali ObeHi Kapuku hotel mpishi hatendi haki kabisa anko, hivi ni lazima kila mchana tupikiwe ugali?
Wengine ni watu wa wali kwenda mbele, asubuhi tunaanza na vitumbua, mchana biriani , jioni walinazi. Kabla hakujakucha tunagonga kiporo
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app