BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ubarikiwe my dear siku njemaMmeamkaje wapendwa wangu,nawatakia siku njema
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe my dear siku njemaMmeamkaje wapendwa wangu,nawatakia siku njema
[emoji120] [emoji120]Morning mama mchungaji
Uwe na siku njema yenye baraka tele wewe na Familia yako, Mbarikiwe sana
Asante sana kwa magazeti barikiwaKwa udhamini mnono wa Mndali
Nawatakieni siku njema
[emoji120] [emoji120]Asante mpenz...
Ubarikiwe sana Sakayo binti yangu uwe na siku njema mummy
SalamaMmeamkaje wapendwa wangu,nawatakia siku njema
Asante mamy... Nawe pia barikiwa MamanguUbarikiwe sana Sakayo binti yangu uwe na siku njema mummy
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Amen na ww piaUbarikiwe my dear siku njema
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mie niko safi kabisaaTuko salama mpendwa, za wewe
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mie niko safi kabisaa
Happ b dei rapaLeo katika Historia
11/7/1975 - Lil Kim. Rapa wa muziki toka nchini Marekani anazaliwa.
Kumbe lil Kim ni mhenga[emoji3][emoji3]
Wakuu niwatakie siku njema
Mzee wa saa mpya na husna wambie nimemwona afande ndo maana nimerudi
[emoji41]Mdau, umeishia kumuona kwa maana ya kumwangalia au umeongea naye?
Isije ikawa kama zile sinema bubu.
Ni jambo zuri kukuona umerudi, hivi siku tatu zilitimia?
[emoji41]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Muulize husna atakwambia mpaka Leo siku ya ngapiMdau, umeishia kumuona kwa maana ya kumwangalia au umeongea naye?
Isije ikawa kama zile sinema bubu.
Ni jambo zuri kukuona umerudi, hivi siku tatu zilitimia?