EwaaaaaaahMzima Obe za kazi pole na majukumu,unaendeleaje?ubarikiwe karibu
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app

Tutafanyaje binamu wanasema wanaendana na hali halisiHi Kapuku hotel mpishi hatendi haki kabisa anko, hivi ni lazima kila mchana tupikiwe ugali?
Wengine ni watu wa wali kwenda mbele, asubuhi tunaanza na vitumbua, mchana biriani , jioni walinazi. Kabla hakujakucha tunagonga kiporo
InategemeaMchezaji akitolewa kwa mkopo huwa thamani yake inashuka sana
Ame sign BayernJames Rodriguez, 26, anataka hatma yake ifahamike mara moja, huku Real Madrid wakitaka pauni milioni 62. Manchester United na timu kadhaa Ulaya zimeambiwa zinaweza kupanda dau (Mail).
Baadae wapiiiNinaendelea vizuri sana, asante. Najua uko poa. Baaadaye kidogo, ninakumiss
SijaonaAme sign Bayern
Japo tumbo huwa halina shukrani ila mpaka hapo sina la kiada...mshiboo mwemaaa

Uko poaa ??
Mimi nimeiona kama saa iliyopitaSijaona
Niko poa kabisa, vip weweUko poaa ??
Mimi nimeiona kama saa iliyopita
Niko poaa kabisaNiko poa kabisa, vip wewe
Kula chips...eti eeh, halafu nile nini? Usiniambie kuhusu ugali?
Siamini km Man Utd wanamtaka kivileManchester United wanataka kupanda dau zaidi ya la Chelsea na kumsajili Tiemoue Bakayoko kwa pauni milioni 40 (Daily Mail).