Namshukuru Mungu mamito naendelea vyemaPoa Poa
Unaendeleaje
Wapi? Kufanyaje?Na demi ataenda?!
KabisaThis world is not fair
Naona umefurahia. Mke mdogo akafanye nini maporini? Waende tu...Haendiii![]()
![]()
Niko hapaYuko wapi
Tufatilie wenyewe
Asante JJ ubarikiweNi matumaini yangu kuwa wote hamjambo na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku...
Leo katika Historia itawajia baada ya muda mfupi na italetwa kwenu nami Jimena Jimenes
Mkanipita kimya kimya bila kunisabahi. Vibaya hivyoHata mi nilimuona
Happy Birtday Giorgio ArmaniLeo katika Historia
11/7/1934 - Giorgio Armani mbunifu wa mavazi toka nchini Italy anazaliwa.
Happy Birthday Lil KimLeo katika Historia
11/7/1975 - Lil Kim. Rapa wa muziki toka nchini Marekani anazaliwa.
Kumbe lil Kim ni mhenga![]()
Happy Birthday Raul GarciaLeo katika Historia
11/7/1986 - Raul Garcia. Mchezaji wa mpira wa miguu toka nchini Hispania anazaliwa.
Happy Birthday Yoan GorcuffLeo katika Historia
11/7/1986 - Yoan Gorcuff Mchezaji wa mpira toka Ufaransa anazaliwa.
Rest in Peace Lady Bird JohsonLeo katika Historia
11/7/2007 - Lady Bird Johnson. Mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani Lyndon B. Johnson anafariki Dunia.
Asante sana mummy ubarikiwe siku njemaMpaka hapo sina la ziada.
Leo katika Historia imeletwa kwenu nami Jimena Jimenes ukipenda utaniita JJ kwa udhamini mkubwa kabisa wa Mzee wa UF
Kwaherini kwa sasa
SafiHuyu mzee ni tozi
Moja kati ya kazi zake![]()
Kwenye marashi hashikiki kabisa![]()
......
Nimeridhia kujiunga, naomba mwongozo!!
Tuko salama mpendwa, za weweMmeamkaje wapendwa wangu,nawatakia siku njema
AminaNamshukuru Mungu mamito naendelea vyema