BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Mmmh walisema sio za Serikali sasa imekuaje
Sijapenda
Mitandao ya kijamii ni muhimu itumiwe kwa busara
I see!
Ubarikiwe my dear TumosaAmen,asante kwa sala mama Mchuchu na ubarikiwe pia
Ubarikiwe dear SakayoAmeeen
Marahaba nimeamshwa salama Mungu ni mwema Love you baby girlUsijali mamy
Shkamo mamy, naamini umeamka salama....
Nikutakie siku njema Mamangu
Salama kaka za uzima karibu,ubarikiwe kaka yangu nimefurahi uko nasi tenaWakuu mmeakaje
Asante ubarikiweLeo nimekuja na utafiti hewa
Ukiwa mvivu sehemu uliyo ajiriwa kwa kisingizio kuwa namtajirisha bosi basi amini umefeli kufikiri
Maana hata shughuli zako utazifanya kwa uvivu kwa kujidanganya mbona nimejiajiri
Jitume kwa chochote ufanyacho kwa faida ya maisha yako na familia yako
Asante dada ubarikiwe nawe piaSalama kaka za uzima karibu,ubarikiwe kaka yangu nimefurahi uko nasi tena
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
AmenAsante ubarikiwe
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Tulimkaribisha yupo toka alfajiriDada Sakayo mbona hukaribishi mgeni jmn
Ndinkafu kaka,tulipoDada ulimkafu utwa mashiku?
Ndaga dadaNdinkafu kaka,tulipo
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ee waneeeNdaga dada
Oooh safi sana dadaTulimkaribisha yupo toka alfajiri
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Nafanya doria mtaasisiMtaasisi, mambo vipi mdau! naona unaingia mida ya rafiki wa polisi