Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Wataalamu wanasema alitakiwa kufa miezi minne iliyopitaKaumwa muda mrefu na matibabu yalishindikana na madokta walimtabiria kufa mapema ila aliendelea kudunda tu
Hivyo kifo chake kilitarajiwa muda mrefu tu
.....
Salama kabisa my loveCjambo hny umeshindaje
Nakupenda..Ndo nini tena jamani
![]()
Naendelea kuuwa vijidudu vya Cancer..
Take some wine, get some wisdom

KeshoWanazika lini, karibu
Amen ubarikiweHabari ya mapumziko wapendwa naamini wote muwazima,wenye changamoto mbalimbali poleni Mungu awafanyie wepesi
Samtaimu wanachemsha kutabiriWataalamu wanasema alitakiwa kufa miezi minne iliyopita
Muziki: Ijumaa ya Kimyakimya
Well, kabla sijakusalimia Kapuku mwenzangu ningependa kutofahamu utafanya nini katika siku hizi mbili za mapumziko. Ni mapumziko, si ndiyo jamani, na kama ni mapumziko sasa kwanini nauliza utafanya nini (got any plans this weekend?). Binafsi nitapumzika sana maana wiki hii ilikuwa ndefu kidogo na yenye kona nyingi isingekuwa assist za wadau basi hata sare nisingeambulia. Tujipongeze kwa kutoa assist na kuwa assisted bila kuasiliwa.
Leo ni SabaSaba, sikukuu ya Wakulima hapo mwanzo na hujuma za wafanyabiashara wakaipoka kuifanya siku ya kuuza bidhaa za viwandani. Hongereni sana wote mliotumia siku ya leo kununua bidhaa za viwandani na kuwaunga mkono wafanyabiashara wetu nchini. Ukiwaunga mkono basi uchumi kupaa hakuepukiki. Nunua bidhaa za ndani, usipende za nje utakaa uchi.
Muziki sasa, leo ni Ijumaa sina haja ya kukukumbusha mdau na Kapuku mwenzangu ambaye uwepo wako tu hapa na wewe kuweza kusoma forum hii unakuanya kuwa mtu mwema sana, vinginevyo ungekuwa jela ukiishi bure. Kuwa raia mtiifu ni wajibu wetu kila mmoja.
Turudi zamani kidogo kwa sisi vijana wa jana enzi za kutembea na mabegi mgongoni (yamerudi tena) na story za mamtoni miguuni tumetinga raba mtoni. Anaitwa Dudubaya aka Mamba, kapafona- mshindi wa tuzo ya muziki tanzania kwa wimbo wake nakuppenda tu na zaidi navutiwa na wimbo wake mwanangu huna nidhamu. Sakayo uliomba wimbo wowote wa Mapafu ya Mbwa (DuduBaya) sasa furahia na Makapuku wote
Furahia wakati huru huu tulionao. Nakupenda tu.
NB: Kwa matatizo ya kiufundi wasiliana na mtaalamu wa masuala ya ufundi mtaasisi Nyagei
enzi hizo sie bado vijanaMuziki: Ijumaa ya Kimyakimya

AiseeeeEeeh...Tumosa ni mke mwenzako?![]()