shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
....na alipoleta maziwa ukasema wewe ndo umenileta mjini ukayanywa , ila baaadaye alinipaga mtindi, nikasema haina noma wakubwa mlifaidi

Uwanja wa nyumbani siku hizi uko huruSema ndo hivo huyo sabrina aliolewa akaachika ana watoto wanne kila mmoja na baba yake ...ila kuna mmoja wanasemaga ananifanana kwa mbalii
AminaPole dear,Bwana Yesu akuponye
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
ZABURI 4
Baba asante kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunaomba toba kwayote tuliyokosea kwa mawazo maneno mtendo na kwa kutotimiza wajibu mbalimbali zinazotuhusu,asante kwa uzima asante kwa amani asante kwa kutupatanisha na asante kwa upendo mahali hapa,MUNGU wewe ndiye kimbilio letu na kiongozi wetu tujalie neema ya kujua dhambi zetu kukusudia kuacha,kujuta na kutubu na kuacha kabisa yale yasiyokupa utukufu,tujaze upendo wa kweli,mshikamano,uvumilivu ili tuje kuvikwa taji
ZABURI 4
8.Katika amani nitajilaza,na kupata usingizi mara.Maana wewe,BWANA peke yako ndiwe unijaliae kukaa salama

Usiku huu BABA tukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga vyake,damu ya Yesu takatifu itufunike,wangalie wagonjwa,wenyechangamoto zozote,watie nguvu Mfalme wa Amani
Baba asante maana utatenda sawa na fadhili zako.
Tunaomba katika jina la Yeu Kristo Amen
SHALOM USIKU MWEMA WAPENDWA![]()
![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Na kwako piaZABURI 4

Demi kamu zis weiAtakukujibu yy
Sema ndo hivo huyo sabrina aliolewa akaachika ana watoto wanne kila mmoja na baba yake ...ila kuna mmoja wanasemaga ananifanana kwa mbalii
Naona umetupia 235k kiulainiAunt ake! Upo
Ahsante shem wane na kwako piaJamani mlale salama
AmenZABURI 4
8.Katika amani nitajilaza,na kupata usingizi mara.Maana wewe,BWANA peke yako ndiwe unijaliae kukaa salama
Baba asante kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunaomba toba kwayote tuliyokosea kwa mawazo maneno mtendo na kwa kutotimiza wajibu mbalimbali zinazotuhusu,asante kwa uzima asante kwa amani asante kwa kutupatanisha na asante kwa upendo mahali hapa,MUNGU wewe ndiye kimbilio letu na kiongozi wetu tujalie neema ya kujua dhambi zetu kukusudia kuacha,kujuta na kutubu na kuacha kabisa yale yasiyokupa utukufu,tujaze upendo wa kweli,mshikamano,uvumilivu ili tuje kuvikwa taji
Usiku huu BABA tukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga vyake,damu ya Yesu takatifu itufunike,wangalie wagonjwa,wenyechangamoto zozote,watie nguvu Mfalme wa Amani
Baba asante maana utatenda sawa na fadhili zako.
Tunaomba katika jina la Yeu Kristo Amen
SHALOM USIKU MWEMA WAPENDWA![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Sema ndo hivo huyo sabrina aliolewa akaachika ana watoto wanne kila mmoja na baba yake ...ila kuna mmoja wanasemaga ananifanana kwa mbalii
Ahsanteeee shemelaAhsante shem wane na kwako pia
Ahsante shem wane na kwako pia
Muziki: Furahia Kama Uko na Miaka 21+
Sina hakika kama nimechelewa kusalimia, salamu ni salamu haina wakati kama salama kond... Nami kwa kuwa nimekukuta hapa sina budi kukusalimia Kapuku mheshimika, unajua sitochoka kusema wewe ni sehemu bora sana ya forum hii, na uzuri unalijua hilo bila kujali unamiliki Tecno werevaa, singsung/samsung, nokio 3310, laptop, ipad, kindle na devices nyingine, uzuri wote tunakutana hapa kusaka na kusambaza maarifa.
Naamini ulikuwa na siku mbili nzuri za mapumziko na ndiyo maana nasema Happy Monday, wikend ilikuwa na mengi, tumeona hela zilizosemwa sio za serikali zikirudishwa serikalini. Tumeona Taifa Starz ikiibuka namba tatu (hii ni nzuri kuliko ile nafasi ya miaka yote inayoshikwa na Arsenal Starz)
Muziki sasa: kama kuna kitu kinachowaleta watu wa rika zote karibu, muziki lazima utakuwa ni mojawapo ya kitu hicho. Amini usiamini, watu wa mataifa na washika dini huunganishwa na muziki. Miili yetu imeumbwa kupenda muziki.
Anitwa Sean Paul, mfalme wa dancehall toka Jamaica ambaye kiukweli ana nasaba za karibu asili zote, Myahudi, Mzungu, Muafrika na Mchina kwa ndani. Inawezekana kwa sababu hii akaamua kuchagua ragga kama muziki wa kumtoa maana ragga nayo ina mchanganyiko makande yamesingiziwa.
Una miaka 21+ basi furahia maana jela hupelekwi sehemu ya watoto, na kwa kuwa unapenda midundo basi hebu burudika na ngoma hii ya jana lakini inavuma hadi leo, huku ukijitahidi kufuata na kutii bila kuitia sheria maana jela hakuna disco

Huyu mdada anaonekana mtu wa shughuli kitandani huyu
Poa PoaNiaje wakuu..