Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tunakushukuru Baba Mungu kutuamsha salama ,asante sana kwa wema wako,tutakase tuponye tuongoze ee Roho Mtakatifu uwe na si siku ya leo ,tutende mema ,tufanye kazi na pia tupumzike.

Tunawakabidhi kwako wagonjwa,wafiwa,wajane,wagane,wasafiri damuvya mwanao Yesu Kristo iwafunike wakuone wewe katikabmaisha yao,tupe moyo safi na wenye uvumilivu tunapokuwa na wenzetu,jirani zetu,wenza wetu,ndugu jamaa na marafiki tujinyenyekeze,tuwe na upendo wa kweli maana tukipenda wenzetu kati yetu Mungu yupo.
Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako Amen

SIKU NJEMA MBARIKIWE
Amen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom