Makapuku Forum

Makapuku Forum



Saidi karibu taifa starz japo ndo hivo kichwa cha uwendawazimu ...tutafanyaje

mwalimu kafanya marekebishoo mengi kwenye kikosi ...

Katika mikono ya Ramadhani Kabwili kuna saves na clean sheets nyingi sana katika macho yetu..... Kuwa goli kipa namba moja wa Serengeti boys ni moja hiyo.... Ila kuitwa na kuwa golikipa namba tatu nyuma ya said Mohamed na Aishi Manula ni mbili hiyo kwa kikosi cha CHAN.


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom