Makapuku Forum

Makapuku Forum

dd33293cb93641306e4d79483515a50c.jpg
Kapewa namba ngapiiii
 
1/Wal--Mart Stores Inc
7cb1a310e8cec0252584625826b8d00e.jpg
c02001239fb5a483f5c35dcd4475bfb6.jpg
ac82afc23e5da9cb555a04f119ce5410.jpg

Wamiliki ni Wamarekani
Ndiyo kampuni iliyoajiri watu wengi zaidi duniani.......Kwa Marekani imeiacha mbali McDonalds Kwa wingi wa wafanyakazi au pengine na kimapato
Inajihusisha zaidi na uuzaji wa bidhaa za rejareja(retail trade}
Hawa jamaa ndio wamiliki wa Walmart,Sam's Club na biashara kibao
Kwa mwaka huingiza takribani USD 480 Bilioni
Imeajiri zaidi ya watu 2,200,000
.
.
.
.
.
Shukrani Kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
..........
Asante mkuu ...
 
Muziki: Furahia Kama Uko na Miaka 21+

Sina hakika kama nimechelewa kusalimia, salamu ni salamu haina wakati kama salama kond... Nami kwa kuwa nimekukuta hapa sina budi kukusalimia Kapuku mheshimika, unajua sitochoka kusema wewe ni sehemu bora sana ya forum hii, na uzuri unalijua hilo bila kujali unamiliki Tecno werevaa, singsung/samsung, nokio 3310, laptop, ipad, kindle na devices nyingine, uzuri wote tunakutana hapa kusaka na kusambaza maarifa.

Naamini ulikuwa na siku mbili nzuri za mapumziko na ndiyo maana nasema Happy Monday, wikend ilikuwa na mengi, tumeona hela zilizosemwa sio za serikali zikirudishwa serikalini. Tumeona Taifa Starz ikiibuka namba tatu (hii ni nzuri kuliko ile nafasi ya miaka yote inayoshikwa na Arsenal Starz)

Muziki sasa: kama kuna kitu kinachowaleta watu wa rika zote karibu, muziki lazima utakuwa ni mojawapo ya kitu hicho. Amini usiamini, watu wa mataifa na washika dini huunganishwa na muziki. Miili yetu imeumbwa kupenda muziki.
Anitwa Sean Paul, mfalme wa dancehall toka Jamaica ambaye kiukweli ana nasaba za karibu asili zote, Myahudi, Mzungu, Muafrika na Mchina kwa ndani. Inawezekana kwa sababu hii akaamua kuchagua ragga kama muziki wa kumtoa maana ragga nayo ina mchanganyiko makande yamesingiziwa.

Una miaka 21+ basi furahia maana jela hupelekwi sehemu ya watoto, na kwa kuwa unapenda midundo basi hebu burudika na ngoma hii ya jana lakini inavuma hadi leo, huku ukijitahidi kufuata na kutii bila kuitia sheria maana jela hakuna disco

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom