Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Hebu mjibu Kakangu bhasiTeamFitna katika ubora wangu![]()
Hebu mjibu Kakangu bhasiTeamFitna katika ubora wangu![]()
Joh wa jah..!
A gwanta man ? Whats up?
Love youHahaha..
Unataka simu gani JimenaSina tecno wala hiyo galaxy![]()
![]()
![]()
Chinese are so conscious with market price..Wachina hatari sana
Kwenye usafirishaji keshaanza kutawala now kuna Yutong,Zhongthong,Higer n.k akina Scania,Toyota wanabaki kujiuliza tu
Mi nikielekea Mbeya ni Rungwe(Yutong) au New Force{ZhongThong) tu ndani yapo swaafi wakati Mascania yapoyapo tu yanatambia ubora(kudumu)
Wachina noma sana
..........
Usisahau kuniletea appleNakuja mama

YesuuuuMi nna nuclear
Hahahaa!Mkuu naona kitambi kwa mbaali, dadangu anakufaa sana
Mie nitaenda kuufungua ujueHeb wacha hizo basi...
Au mpaka tukakufungulie uzi kule MMU?
Inabidi aongeze utunzi. Mashairi yashibe yawe yale ya kumtoa nyoka pangoniSio kumuona tuu...
Msikilize mtoto wa mwenzio

EwaaaaSakayo huwa anasema "Ewaaaaaaa"
Ni wa kipekee sanaHahahaa!
Wala mkuu!
Ila ninahitaji furaha tuu! She is my happyness day and night.
Una danganya UmmaMi nna nuclear
Halafu hii werevaa leo inajifanya imara eti, nimeitupa walaaa haijafungukaHahahaaaa! Kama Naona betri chini ya meza![]()
JamaniiiiPambe tuu
Ngoja kwanza aje anidediketie wimbo....
AbsolutelyKaribu tena mkuu..
Once a kapuku, forever a kapuku
Pole pole..Asante bae
I can't wait to hug you tightly.....


Wowa kwanza...