Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
Bora nyinyi mtabaki hivyoAhahahh na sie team natural je [emoji85]
Bora nyinyi mtabaki hivyoAhahahh na sie team natural je [emoji85]
Nipogooooo [emoji111]Nimekuona shemela wa mimi
Karibu shemeji, hapa tupoWakuu habari zenu habari za kupambana na maisha
Nimewamis sana
Leo nimekuja niwasalimu
Kuhusu Mama ujueAiseeeeh ...
Mzima kabisa shemeji, za Sugu cityShemeji mzima
Asante mamy... Naamini hivyo piaPole mummy,Mungu atakuponya
AsantePole dada jamaan
Kama nakuonaaaAhahahh na sie team natural je [emoji85]
UmeonaeeAhahhaha kama mimi jamaan siku nikiamua kujipodoa acha tu
PlzKuhusu Mama ujue
[emoji134] [emoji134] [emoji134] nmepita kule nmeona bandiko ila siamini na naogopa kurudi kuangalia tenaShunie ,tumosa mko wapiii eti wanasema IBRA kafa jamani uwiiiiiii..........hadi naogopa wallahi mungu wanguuuu weeee
Kitu kipili pili kichwanii mshkaji wanguBora nyinyi mtabaki hivyo
Pole....Mungu akutie nguvuUwiiiii we husna [emoji15] ibra juzi katuonyesha cheti kifua kimembana jamaan sitaki kuamini ibra [emoji134] [emoji134] Mungu wangu
Jamaan kama kuna niliyemkosea tusameheane maisha mafupi sana leo tunacheka kesho hatupo kama umenikosea nimekusamehe ibra sitaki kuamini
Baba watoto[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7]Wewe
Kabisaa yaaani.. Sema wewe sasa unapotea hewani, nahisi utakuta na tanga limeishaUmenichekesha tu eti taarifa zangu ataleta shunii au T
Ila dada presha nawaza tu apa imetokea wapi lakiniAsante mamy... Naamini hivyo pia
AiseeWana dawa nyingi sana dada
Asante dada angu [emoji120]Asante
Pole na wewe
Nipogooooo [emoji111]