Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kumbe ni aunt yako?!!Asantee aunt
Kumbe ni aunt yako?!!Asantee aunt
Karibu mkuu sie tupo tunalisongesha tuNipo mkuu hua napita kimya kimya na kwa sauti inapobidi!
Game SAA ngapi ?!Ngoja tuone na leo
Jamaa kaongeza Mke Wa pilisasa kiongozi na dada angu yule imekuaje
Nilizani wanaogopwa kwavile ni waheshimiwaWao wana nini au wakoje mpaka wasitongozane?
R.I.p arthur![]()
![]()
Alizaliwa mwaka 1943 na kufariki dunia 1993 akiwa na umri wa miaka 49
......
....thaaanaaaaNomaaaa
Heshima kwako ....
Nimeongeza mke mdogo ...analitambua hilo

Ili waonane ethaha! siku nyingine ukimuona anapita kimya mstue na yeye akuone

Kifo hakina mdogo wala mkubwaKafa mdogo sanaa
ThijuiiiiUshindi lazima ...kwani malinzi katoka lupangooo ??
kumbe umeongeza... na hiyo ndio heshima ya kuitwa Mutu ya batoto bazuri bawili bawili
Tena sio bawiliii tu mutema na ngaiiiii .....bawiliii bazuriiii baremboooo haswaaaa na papaa
hatareePoa tuMko poa ndugu zangu?
Hapana chezea mapankiiAunt....sio ndege lilikuwa ni kombora H 10 na ni kwelii lilishindwa kuruka kitu ambacho kilibezwa sana hasa nchi zinazomfatilia huyu jamaa ikiwemo ya Trump ...ni kawaida kutest mambo kabla ya kuuingia kwenye battle ...ila soon liliruka kama kawaida na baada ya wiki mbili nakumbuka ulikuwa mkutano wa G8 jamaa akayarusha ...
Jana ndo ilikuwa komesha make ata hilo la jana mwanzoni liligoma kuruka ...ila hili lina impacts kubwa ndo maana mpaka state wameamua kukutana ...japo mzee mapanki aliwafanyia suprise kwenye kumbukumbu za uhuru wa Marekani ...
Ngoja watunishianee misulii

Wapi nimesema nakulove?!You love me ???
mimi wake 2 wananitoshaa

Acha aichemshe USA kidogo ipunguze shobo kwanzaNdio lilikuwa kombora nimeshakumbuka.
Mapanki ni shida nyingine hapa duniani walahi