9/
Tanzania
Ukitaka kujua Watanzania wengi wanaamini katika ushirikina kuliko kumwamini Mungu basi fuatilia thread za njemba fulani zinavyoshabikiwa na hadi kuitwa sijui member mwenye busara zaidi JF kisa tu anaandika zaidi ushirikina na Hivyo kawa maarufu na kuwateka watu
Usijiulize kwanini mauaji ya albino hayakomi...sababu tu tumejikita kwenye ushirikina
Fulani watu wanaweka vipande vya mkaa eti
kujikinga na chuma ulete...makanisani nako wachungaji feki wana nguvu za giza
Wanasiasa nao washirikina
Watanzania ni washirikina balaa ndiyo maana CCM haitoki madarakani
.......