shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mukongo mambo
Mukongo mambo
Aisee9/Tanzania![]()
Ukitaka kujua Watanzania wengi wanaamini katika ushirikina kuliko kumwamini Mungu basi fuatilia thread za njemba fulani zinavyoshabikiwa na hadi kuitwa sijui member mwenye busara zaidi JF kisa tu anaandika zaidi ushirikina na Hivyo kawa maarufu na kuwateka watu![]()
Usijiulize kwanini mauaji ya albino hayakomi...sababu tu tumejikita kwenye ushirikina
Fulani watu wanaweka vipande vya mkaa eti kujikinga na chuma ulete...makanisani nako wachungaji feki wana nguvu za giza
Wanasiasa nao washirikina
Watanzania ni washirikina balaa ndiyo maana CCM haitoki madarakani
.......
Mke mwee nakuona kwenye kazi yako ya kusoma page kila pageyaan we ni mbea kuskip unaona utapitwa

Minali faidhinaEid mubarak![]()
NjemaNzuri kabisa mama mchungaji, za dar
Jana bhinamu alinisema nimsindikizee sehem
Duh aisee8/Nepal
]Hii ndo nchi pekee duniani ambayo bendera yake siyo ya mstatili yaani siyo pembe nne labda imewekwa kichawi tu![]()
Waasia hawa nao ni balaa linapokuja suala la ushirikina...
Mfano mwaka 2012 ilivuma habari ya msukule wa kike na kutikisa dunia nzima yaani mwanamke aliyekufa na kuzikwa alipatikana akiwa msukule
Uchawi wao unavuma tangu karne ya 17
......
Naunga mkono hojaBaba D usiniambie mnaniachabila mimi mama mchuchu hatakubali
Binamuuuuuu....mambo ya kwenye sikukuu si tulikubaliana yanaishia pale pale tulipokula pilau bombadier, usiharibu mjomba
Bhinamu unamjua fika aunt yako mimi nimefika naomba chakula anasema eti nirudi nilipokuwa ...ila sijamwambia chochote ........mambo ya kwenye sikukuu si tulikubaliana yanaishia pale pale tulipokula pilau bombadier, usiharibu mjomba
Duh7/India![]()
![]()
![]()
Wahindi wamejaaliwa mvuto wa sura lakini mioyo yao imejaa ushirikina achilia mbali tabia yao ya uchafu uliopitiza
Mfano Oktoba 14 BBC iliripoti habari kuhusi binti mmoja kutoka Bemetara District kwamba alitolewa kafara ya mtoto wa kiume na ndugu zao wakiamini itamsaidia kupata ujauzito .....asiye na mwana abebe jiwe kuliko kwenda kwa sangoma
......
Aisee, shemela vipMke mwee nakuona kwenye kazi yako ya kusoma page kila pageyaan we ni mbea kuskip unaona utapitwa
Ngojaa kwanza tujipangee wewe ndo unatufitinishaaBaba D usiniambie mnaniachabila mimi mama mchuchu hatakubali
Leo mnichukue na mie nikale pilau makinikia kwa mama ashura mvaa shanga 700 jamanBhinamu unamjua fika aunt yako mimi nimefika naomba chakula anasema eti nirudi nilipokuwa ...ila sijamwambia chochote ....
Unamuona na fitina zake ...
Ila bhinamu ngoja kwanza hivi mama ashura ndo anavojua kupika hivo???
Salaaamu bhinamu
Hahahaa! Muulize Sakayo ebu..Ni kwaito ya kwa bed hivi eenh
Mke mwee mamboNahisi ni ule wa kuja kukutembelea na binamu kigamboni
Utajikwaaa bana Baba D ebu rudi
