Makapuku Forum

Makapuku Forum

...anko, sasa hivi nina maelewano mazuri na aunt yangu, usiniharibie. Ujue tutakuwa wageni pale kigamboni hivi punde sitaki aghairishe kisa mambo yako.

Ila tuache utani, lile pilau lilikuwa poa sana, anko ukaomba na mkeka kabisa ikabidi upelekwe nyumba ya wageni kupumzishwa na mdogo wake mama Ashura
Ni kweli safari ya Kigamboni naitamani japo aunt yako ndo simuelewiiii...

Ila unajua kutyme binamu make nilijua ndo huji tena make kuku yuke nilijua namfaidii mwenyewe mara hodiii ukatingaaa...

Mdogo wake ana story nzuriii na ni charming wasemavyo wa China ...tuliongea mengi najua ulitamani uyasikie lakin siri yangu
 
Dah aisee
 
Mtaenda wenyewe kigamboni na mdogo wake mama ashura
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom