Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Uchawi ulitoka wap....?6/Papua New Guinea![]()
![]()
![]()
Hawa waporipori nao kwa ushirikina ni shida
Jamaa wanarogana balaa kiadi cha kuifanya serikali yao itunge sheria kali ili iwe onyo kwao lakini mchawi ni mchawi tu haachi
Mfano katika Enga village wana wake wanne walikimbia kijiji baada ya kuanza kuwindwa kama swala kutokana na tuhuma za kuwangia wanavijiji uchi usiku na mauzauza mengine kibao hivyo ikawa msala kwao
.......
Yan nini chanzo cha ushirikina Dunian...?