Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Maswali mengine bwanaaahKulana? Ni kweli unamla shunie?
Maswali mengine bwanaaahKulana? Ni kweli unamla shunie?
Na hawezi kukubali kama watakuwa wenyeweLazima uende, mama mchungaji hatawaelewa kabisa
Baba D mbona na mie nampenda sana binamu jamaan hivi nimekosea wapi kwaniUngejuaa bhinamu anavokupendaa wewee usingelimfitinishaa

Waambie tutawatumia pichaMaswali mengine bwanaaah
Aisee haaaaahaaaaUngejuaa bhinamu anavokupendaa wewee usingelimfitinishaa
SahauWakikujibu nitag
Unatutafuta manenoo wewwIli na mie nikale baba d kila siku mnamsifia nataka nione kweli anajua kupika
Atakubali tuNa hawezi kukubali kama watakuwa wenyewe
Wewe si hupendi binamu afaidiiHivi naanzaje kukuacha ili uumie nipate shida ebu rudi
Mbona ukimwona mkongo akili inaakilikaa??Baba D mbona na mie nampenda sana binamu jamaan hivi nimekosea wapi kwani![]()
Huo mda hatunaaWaambie tutawatumia picha
Asante sana T wa Sakayo na Sakayo wa T kwa udhamini,asante mkuu Shululu kwa magazeti kazi yenu ni njema mbarikiwe sana



Mmmmmh dunia kuna mambo6/Papua New Guinea![]()
![]()
![]()
Hawa waporipori nao kwa ushirikina ni shida
Jamaa wanarogana balaa kiadi cha kuifanya serikali yao itunge sheria kali ili iwe onyo kwao lakini mchawi ni mchawi tu haachi
Mfano katika Enga village wana wake wanne walikimbia kijiji baada ya kuanza kuwindwa kama swala kutokana na tuhuma za kuwangia wanavijiji uchi Usiku hivyo ikawa msala kwao
.......
Burudani6/Papua New Guinea![]()
![]()
![]()
Hawa waporipori nao kwa ushirikina ni shida
Jamaa wanarogana balaa kiadi cha kuifanya serikali yao itunge sheria kali ili iwe onyo kwao lakini mchawi ni mchawi tu haachi
Mfano katika Enga village wana wake wanne walikimbia kijiji baada ya kuanza kuwindwa kama swala kutokana na tuhuma za kuwangia wanavijiji uchi usiku na mauzauza mengine kibao hivyo ikawa msala kwao
.......
Hunie!Karibu
UkapukuniBurudani
Hahahaaa!9/Tanzania![]()
Ukitaka kujua Watanzania wengi wanaamini katika ushirikina kuliko kumwamini Mungu basi fuatilia thread za njemba fulani zinavyoshabikiwa na hadi kuitwa sijui member mwenye busara zaidi JF kisa tu anaandika zaidi ushirikina na Hivyo kawa maarufu na kuwateka watu![]()
Usijiulize kwanini mauaji ya albino hayakomi...sababu tu tumejikita kwenye ushirikina
Fulani watu wanaweka vipande vya mkaa eti kujikinga na chuma ulete...makanisani nako wachungaji feki wana nguvu za giza
Wanasiasa nao washirikina
Watanzania ni washirikina balaa ndiyo maana CCM haitoki madarakani
.......