Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ni pouwah shemela wangu mieAisee, shemela vip
Ni pouwah shemela wangu mieAisee, shemela vip
Nimemtuma Gasper muda! Ama kazila njiani? [emoji3]Mmmmh
Lollipop [emoji517] yangu iko wapiii
Aisee, shemela vipMke mwee nakuona kwenye kazi yako ya kusoma page kila page [emoji23][emoji23][emoji23] yaan we ni mbea kuskip unaona utapitwa
Hapana Baba D siwafitinishi jamaan basi kama nimekosea nitajirekebisha [emoji134]Ngojaa kwanza tujipangee wewe ndo unatufitinishaa
Ipo mkuu..Sorry mkuu ...vipi zawadi ya clkey umeiandaa ??
Kuwa niachwe shemelaNaunga mkono hoja
Huo mzabibu upitie kwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuongeza na Mzabibu
Kulana? Ni kweli unamla shunie?Washangaaa nini yaaeeeh
Poa mke mwee jamaan hatimaye umetufikia umepita kwa king kashusha page kama 6 hiviMke mwee mambo
Hivi kwa nini hamuaminiiiKulana? Ni kweli unamla shunie?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bhinamu unamjua fika aunt yako mimi nimefika naomba chakula anasema eti nirudi nilipokuwa ...ila sijamwambia chochote ....
Unamuona na fitina zake ...
Ila bhinamu ngoja kwanza hivi mama ashura ndo anavojua kupika hivo???
Salaaamu bhinamu
Ili ufanye nini labdaLeo mnichukue na mie nikale pilau makinikia kwa mama ashura mvaa shanga 700 jaman
Wakikujibu nitagLeo mnichukue na mie nikale pilau makinikia kwa mama ashura mvaa shanga 700 jaman
NiacheeeeUtajikwaaa bana Baba D ebu rudi [emoji23]
Ili na mie nikale baba d kila siku mnamsifia nataka nione kweli anajua kupikaIli ufanye nini labda
Hivi naanzaje kukuacha ili uumie nipate shida ebu rudiNiacheeee
Ungejuaa bhinamu anavokupendaa wewee usingelimfitinishaaHapana Baba D siwafitinishi jamaan basi kama nimekosea nitajirekebisha [emoji134]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakikujibu nitag
Lazima uende, mama mchungaji hatawaelewa kabisaKuwa niachwe shemela