Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
Kila siku mzee wa chura unarudi jamaan karibu sanaaahome sweet home nmerudi
Kila siku mzee wa chura unarudi jamaan karibu sanaaahome sweet home nmerudi
Huo ndo mwaka mpya wa WachinaNakumbuka mkuu ilikua ikifika hii siku kampuni haifungui ofisi,ni nyama na pombe tu bwaloni
Majukumu yanakaba mkuu lkn nipo na nyie ndugu zanguKila siku mzee wa chura unarudi jamaan karibu sanaaa
Asante sana, alikula kichapo tukamuacha.Pole sana mkuu Mungu yu mwema umepona,uempeleka polisi?au umempiga tu
Thanks.Pole mkuu
Magomeni Mkuu.Wapi huko?
Tupia picha zako zile..Majukumu yanakaba mkuu lkn nipo na nyie ndugu zangu


Thank you Husna.Pole mkuu
Yap...
Mikumi Mkuu.Magomeni ipi sasa?
Kagera?
Mapipa?
I see,bora ulipata simu yako Mungu yu mwemaAsante sana, alikula kichapo tukamuacha.
Majukumu yanakaba mkuu lkn nipo na nyie ndugu zangu
Ubarikiww asante sana1/New Year
Kila inapofika Januari 1 Wanyaki tunasema TULOBHWIKE tukiwa na maana "tumeuona"![]()
Sherehe za mwaka mpya ndo sherehe # 1 kwa umaarufu duniani ikifuatiwa na Valentine's Day
Tufurahi X 2 kwa mwaka mpya,tunywe soda X 2 kwa mwaka mpya.........na wenzetu X 2 wameshakufa. ....
Pindi ukimaliza mwaka salama na pengine kimajanga una kila sababu ya kumshukuru Mungu maana siyo wote wanaobahatika kuuona mwaka mpya
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
Usijali nimekujaYeah,niliekeze vingunguti nataka nikaombe kazi ya uchinjaji mbuzi
Na mimi nakutakia Mr Nyagei IDD MubarakBlessedhope, werrason, Bitoz, Mussolin5, Sakayo, Shunie, Transcend, Mondray, shululu, Tumosa, Tmuller, QUIGLEY, husna muba, Shedebe, Nyoka_mzee, Dingimtoto, toxic9, fakalava, Clkey, bullar na wengine wengi.
Nakutakieni Eid Mubarak
KisakiSalamu nyingi sana toka nilipo
![]()