Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Sorry ndugu zangu Waislamu
Chondechonde msiniswalie dua mbaya.....nipo kiutani tu
.....

Sorry ndugu zangu Waislamu
Chondechonde msiniswalie dua mbaya.....nipo kiutani tu
.....

Ngada noomaa bora mmea Wa bob
Mpaka sasa hajarudi labda anatafuta jinsi ya kujiteteaUmeonaee
Shunie mshtakiwa si katokomea jamani
Ni kweli ujueKho Kho Kho Kho
![]()
ashura ananyonyaaa mnambemenda mtoto wa watu
Kutwa nzima kweliMpaka sasa hajarudi labda anatafuta jinsi ya kujitetea
SawaaaNi kweli ujue
Inasikitisha lakini angemaliza tu kuongea aue mzizi wa fitinaKutwa nzima kweli
Labda ataweka usiku wa mananeInasikitisha lakini angemaliza tu kuongea aue mzizi wa fitina
Dada mie sasa hivi nataka kuwa kama wewe sitoki jf mapema naona usiku ndio kunanogaLabda ataweka usiku wa manane
HahahaDada mie sasa hivi nataka kuwa kama wewe sitoki jf mapema naona usiku ndio kunanoga
Asante heshima kwakoSalama kabisaa
Karibu mkuu
Sakayo my valentine...Transcend... My valentine![]()
UsijaliAsante heshima kwako
Unanirithisha vingiii ujueHahaha
Eti kama mimi... Yaaani wewe sikuwezi
Hhahaaaa! Nani kasema kitandani zinachezwa kwaito?Kwaito ya kitandani ni nyie tu ya ukumbini na mie nipo
AaawwwwwSakayo my valentine...![]()
Nakumbuka mkuu ilikua ikifika hii siku kampuni haifungui ofisi,ni nyama na pombe tu bwaloni7/Chinese New Year
Huu ni mwaka mpya "feki" wa Wachina.....anajulikana pia kama Spring Festival![]()
Husherehekewa kila siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza wa kalenda ya kichina
Yaani Februari 16 mwaka huu
Ila huwa ni kati ya Januari 21 hadi Februari 20
.........
Shunie leo nitakutubua ujue..Avumilie tu hakuna namna