Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ukajua upo whatsapp kwenye group eehNilijua haijaenda nikasalimia mala ya pili ndo imeenda sasa ilivyoenda ndo nipo hapa naisubiria subiria iingie [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukajua upo whatsapp kwenye group eehNilijua haijaenda nikasalimia mala ya pili ndo imeenda sasa ilivyoenda ndo nipo hapa naisubiria subiria iingie [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana binamu nalipenda tuOh, asante Maria😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwehu weweBasi.....
Za New York vipi?
Moth kwa kiswahili anaitwa nondosijui kwa Kiswahili wanaitwaje, nawajua kwa kilugha changu tunawaita Balabhapu
Baba watotoNi maneno tu ya chit-chat, sio kwamba ndio amemaanisha nafikiri ni hilo tu mkuu shimba ya buyenze aka mzee wa kolomije
SikuelewiiiiiiiBaba watoto
Mic u too sweetheartMy swi uko poa mic you more
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na nini??[emoji134] [emoji134]Mambo ni mazuri sana no stress unaendeleaje lakini
Si ndio za wabongo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwehu wewe
Umejuaje[emoji23] [emoji23]Ukajua upo whatsapp kwenye group eeh
Na nini tena ndio nini si umeuliza nimekwambia mambo mazuri no stress usomage vizuri pole jamaan najua bado umevurugwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na nini??[emoji134] [emoji134]
[emoji23] [emoji23] ila T wewe me nipo Tanga bana ndio ninapoishiSi ndio za wabongo...
hahahhah nimejua tuUmejuaje[emoji23] [emoji23]
Jana na leo T wa dada mish yhuuu moreeeeBitoz
Jimema
Shululu
Tumosa
Nyagei
Quigley
Clkey
Shunie
Lee empire
Musollin5
Shedede
Husna Muba
BlessedHope
Sakayo wa T
Shimba ya Bunenze
Obe
Werasson
Mkubhi
Mondray
Demi
SDG
Ukhty
Madame S
Nimewamiss wakuu..nani sijamtaja...?
Pole mkuuWadau, simu yangu imenusurika kuporwa mida hii. Namshukuru Mungu mwizi nimelala naye mbele mpaka nikamkamata.
Yeaaaah mzee mkavuuWakuu habar? Mko fresh
Binamu huu mrembuo veeepeSure, ila Ijumaa usiifanye kuwa ngumu sana, it is Furahiday for God's sake not monday don't make things complicated. Only obnoxious people are allowed to make this day harder, you are not one of them.
Ukiitwa Husna wa Obe hupotezi kitu kama mimi nikiitwa Obe wa Husna sikupati kama hujataka nikupate.
![]()
Asantee bhinamuOh, asante Maria😉
Majukumu mke mweee huwa napita kutoa like mara chacheSikuelewiiiiiii