Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafasiri au maana ya neno "Kapuku" ni ipi?
Tafuta msamiati au neno lingine kuwakilisha hili chama.
Nadhani umekosea jukwaa!
4fa04294bb891471cb7636fc871263d6.jpg
 
Nadhani anatumika vibaya kwenye nguvu za giza na watu wanaojaribu kushindana na nguvuvza Mungu
Siamini ushirikina wala nini
Nikienda vijijini sibabaiki nalala uzingizi bila hofu hata kwenye kajumba ka nyasi
Wengi wenye hofu ya uchawi ukiqachunguza utagundua matendo yao ni machafu(mwezi,wazinzi,wagomvi n.k)
......
 
Kama kawaida yetu , tunaiambia jamii kwa Yale mazuri wayatendao na kuwapongeza kwayo , lakini pia hatuko nyuma kuirekebisha jamii juu ya mabaya yake hadi ibadirike na kufanya mazuri bila kuionea aibu, lakini hatuko nyuma kuishauri jammii yetu wapi wafanye na wapi warekebishe.
 
eti ye ananiita"husna Wa obe" ndio namwambia ili asiniite tena

Sure, ila Ijumaa usiifanye kuwa ngumu sana, it is Furahiday for God's sake not monday don't make things complicated. Only obnoxious people are allowed to make this day harder, you are not one of them.

Ukiitwa Husna wa Obe hupotezi kitu kama mimi nikiitwa Obe wa Husna sikupati kama hujataka nikupate.

giphy.gif
 
Mpaka kakutemeshaa ung'eng'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom