Makapuku Forum

Makapuku Forum

a1eb01a2340d46b10b9f9c47c6b7657b.jpg
 
1/New Year
4752ed4b79760def06ba704063bb2216.jpg
923d537725640b71b88fe8dd2ecb0ce5.jpg
Kila inapofika Januari 1 Wanyaki tunasema TULOBHWIKE tukiwa na maana "tumeuona"
Sherehe za mwaka mpya ndo sherehe # 1 kwa umaarufu duniani ikifuatiwa na Valentine's Day
Tufurahi X 2 kwa mwaka mpya,tunywe soda X 2 kwa mwaka mpya.........na wenzetu X 2 wameshakufa. ....
Pindi ukimaliza mwaka salama na pengine kimajanga una kila sababu ya kumshukuru Mungu maana siyo wote wanaobahatika kuuona mwaka mpya
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
............
Asante mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom