Makapuku Forum

Makapuku Forum

bda6eef5aac62bd639b928256151559f.jpg
 
Ipo wapi SHIMBA YA ANGAZA?
Ile Musukuma ya Koromoje imeadimika sana
Oyaa jomba kuja hapa na mtani wako Shedere mutu ya ng'ombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji102] [emoji102] [emoji102]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we madenge unaharibu majina ya watu ujue
 
Au nimechapia?
Mutu flani hivi ya Husna
Sijui waligombanaga wakiwa beach huko naona couple yao imepoa km juisi ya feri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] afu weweeee umefanya mpaka punje ya ubwabwa imenipalia kwa kicheko khaa... Watu MNA mineno ndio maana natamani kuwajua
 
*Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema "mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani" nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sasa bado nimekaa hapa seblen[emoji41][emoji41] nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu*
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji125][emoji125][emoji125]
Yeah endelea kusubiri hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom