BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Karibu sana shemela utatukutaNitatembelea siku moja
Sijajua
Nimeweka picha kutokana na alichoandika Obe wamewahi kupiga kolabo
.....







Sawa Baba angu nimekusikiaUpostaa sitakii

Sijajua
Nimeweka picha kutokana na alichoandika Obe wamewahi kupiga kolabo
.....

Shunie atafanya tuu hata kama ukimind...Weweee mambo yako maliza wewee ...mda wa kupumzika na wifiii hapaaa
Dera kwenye misiba Baba DWee dera la nini mpenziiii ...vitu amaizing toka norway
Hongereni binamu mbona me hajawahi nipa dera
Watu wa huku wanachekesha...kila kitu wanawaza couple?
Kesho watakuuliza Transcend na Lee Empire ni couple?
![]()

Aiseee binamu....kwa kweli utanionea bure! mambo ya madela nguo sijui lolote sema anajulikana kwa kuwa ana kiwanja madela juu karibu na madale, unapajua?

Jina alilosave kwenye simu...!Kanisave vipi ebu niambie
Maana makinikia hayo mmh binamu ndo anayajuaKama ulikuwepoo
Fanya hivyoo pls...
Unaniangushaaaa dear ..inaitwaa chaisè electriqueWamepiga nyimbo yao ina jina la kifaransa
Binamu sio fair kabisa au ndo kale ka kauli kako ka kuniamini nusu ...ujue ukiyakorogaa mm ndo unanipa kaziii...na ujui kule nimekutana na naniii.m
Kurudii nimerudii ilaa shughuli ilikuwa pevuuu

Furaha yako ndo furaha ya anko wangu, asante kwa maua aunty, nimeyapenda. Umenifanya kusikiliza muziki mzuri pia
Turudi kwenye maua, mbona umeyachanganyachanganya utasema 'kolija' (nguo zinazotokana na vitambaa tofautivilivyokatwakatwa- yaani kama a coat of many colors)
Husna huwa anayaweka kimpangilio unakubalika hata na TBS

Si umfate pm kwake kama hapokei simu jamaanFanya hivyoo pls...
Usipofanya hyo ujue kesho Eid haitalika aisee..
Ndio maana yakeLeo mkesha wa eid