Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Weee achaa ...wanayakataa kama unavonikatiagaaaImebidi tu nicheke Baba D wewe basi tu ila naipenda sana hii nyimbo inachezeka ni maunooo mwanzo mwenga
Weee achaa ...wanayakataa kama unavonikatiagaaaImebidi tu nicheke Baba D wewe basi tu ila naipenda sana hii nyimbo inachezeka ni maunooo mwanzo mwenga
Me siangaliii nimesaviwa vipiii hata asiponisave yote kheri TJina alilosave kwenye simu...!
Najua sio my wife wala my love..! Wala my bblaa blaaa
Akukujibu nibeep kwenye Airtel yangu [emoji3][emoji3][emoji57] [emoji57] [emoji57] alosahau mkoba kwako ni dada ako eeeh
Apo sawa binamuNiwie radhi anko, nilipandwa na mizuka si unajua tena.
Mke mweee nakuonaMaana makinikia hayo mmh binamu ndo anayajua
Wewe hujui kazi ya Dera eeh?Wee dera la nini mpenziiii ...vitu amaizing toka norway
Sikuangushi baba d nilisahau nyimbo ya zamani hiyoUnaniangushaaaa dear ..inaitwaa chaisè electrique
Wamependezeana ndio maana nkauliza pengine walivyoimba wimbo ukaisha afu wakaendelea na yao[emoji1]Unawazaa mapenziii tu wee
[emoji85] [emoji85]Weee achaa ...wanayakataa kama unavonikatiagaaa
Walahi vile yaani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jumapili: HKL
Ni Jumapili na inaishiria. Wote naamini mmekuwa na siku nzuri, wa kwenda kanisani, safi. Wenye Eid leo, hongera na ambao bado hatujauona mwezi, tuendelee, mufti kasema kesho mambo yanajipa, inshAllah.
Jumapili huhitaji makeke mengi, ni siku inayokuandaa na wiki nyingine ya kazi na michakato inayokupa maana ya kuishi. Unaikumbuka kazi ni Uhai? Hii ilikuwa ni moja ya 'motto' kama ilivyokuwa kilimo kwanza, siasa ni kilimo, elimu kwa wote na sasa hapa kazi tu.
Anaitwa Fally Ipupa, mwanamuziki muimbaji na mpiga gitaa kama ulikuwa hujui. keshafanya kazi ya kuimba na kupiga gitaa kwenye bendi ya Koffi Olomide- papa Mopao. Ana tuzo kibao za MTV na keshafanya wimbo na Olivia wa kundi la kina Big Poppa USA.
Sikupanga kukicheza leo kibao hiki nikiamini kimekaa kimikatiko, I was totally wrong, huu muziki wake kama ulivyodhaminiwa na Shunie umenifanya niingie chimbo kumsaka na kumwangalia zaidi. Maana nilizoea tu kile kibao chake cha Bakanja shika mu mbele🙂.
Hapa mwangalie katika clip hii ya YouTube akiimba kiulaini yaani hata umepanda bodaboda (siku hizi zina muziki wa subwufa- asante mchina) bila kuvaa helmet utaufurahia. Japo sijamwelewa hizo alizojifutika kiunoni ni shanga au nini, amua mwenyewe, usisumbuke kuhesabu yupo shululu atatoa tathmini (joke)
Asante mdhamini (ukumbuke tu kuniwekea dhamani kuleeeee) Shunie. Tuwe na wiki njema Makapuku wote, wafanyakazi kw wanafunzi. Yote tuliyopanga kwa wiki hii mpya angalau yafanikiwe.
Kabla sijasahau, nakukaibisha Eid hapo kesho: Eid Mubarak
HKL- Hii Kitu Laini ----(muziki laini leo)😵
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Karibu sana shemela utatukuta
Mombe sorry jamani binamu yangu ....binamu ana wake zaidi ya mmoja unasema mshamba ??Ushamba wake huo we muache[emoji3] [emoji3]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kwa haya unayonifanyia kukuelekeza siwezi
Pm ya nini?Si umfate pm kwake kama hapokei simu jamaan
Unasukumaa mimHivi moyo wangu unasukuma nini eti Baba D usinufanyie hivyo jamaan
Hata kama umefunga una uwezo wa kumpm mtuPm ya nini?
Nishafunga Pm yangu shemela..
Weee achaa ...wanayakataa kama unavonikatiagaaa
Asante mpendwaaaHongera jamaan
Aiseee hata me naona ujueUnasukumaa mim