Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ushamba wake huo we muache[emoji3] [emoji3]Nilishamfundisha mie na screenshot nimemtumia
Ushamba wake huo we muache[emoji3] [emoji3]Nilishamfundisha mie na screenshot nimemtumia
Fainal ni Portugal na Germany..Ujerumani 3:1 Cameroon
Chile 1:1Australia
Table:
Germany 7
Chile 5
Australia 2
Cameroon 1
.
Semi Final:
Portugal v Chile
Germany v Mexico
.......
Ndioooo[emoji15] siku??!!
Nitatembelea siku mojaHuko ndio nyumbani kwetu mie na mke mwee
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji101]
Hivi moyo wangu unasukuma nini eti Baba D usinufanyie hivyo jamaan
Sasa ngoja akurudi mimi nakwaaaaa pang'Alikuzuga tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Bora na wewe umelionaaaaFuraha yako ndo furaha ya anko wangu, asante kwa maua aunty, nimeyapenda. Umenifanya kusikiliza muziki mzuri pia
Turudi kwenye maua, mbona umeyachanganyachanganya utasema 'kolija' (nguo zinazotokana na vitambaa tofautivilivyokatwakatwa- yaani kama a coat of many colors)
Husna huwa anayaweka kimpangilio unakubalika hata na TBS
[emoji15] siku??!!
Ni kweli ndio mana nimewapa hongeraVidumeee haswaaaaaa
Hongera jamaanBhinamu akilewaa ndo ananiitagaa tuu
Upostaa sitakii
[emoji57] [emoji57] [emoji57] alosahau mkoba kwako ni dada ako eeehNaona kuna couple kibao
Lee & Shummy
One & Husna
Baily & Madame
Shululu & Tumosa
Transcend & Sakayo
Ila Bitoz yupo na mifugo yake tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.....
.......
Sawa mke mwee ibra vipiiiNmepita mke mweee
Nilielewa, uliona tafsiri ya mpendwa wakoHapo nimetumia km kifupi cha mpendwa
Hata sijui jamaanSio damu kweliii??
[emoji106] [emoji106]Kesho
Wee dera la nini mpenziiii ...vitu amaizing toka norwayHongereni binamu mbona me hajawahi nipa dera
Wenye mkesha wenuLeo mkesha wa eid