Bhinamu ebu kuwa siliasiiii bhasiiii ...ulivonichuniaa pale nkajitoaa ufahamu si unajua tigo yako ulisahau kwenye ile jaketiii niliyokukwapuaa na baridiiii...si nikaitiaaa eti kuitiaaa ...nimeweka on kwenye kinokiaa ntintitiiiii mara sms naiona mama K nkafikiriaa yupiiii ...kuisoma anauliza ile kuku uliyosema akaushee huendiii....nkajitosa mpaka ndanii...nimesema umeitwa kikazii ila alikuwa mtamu..
Yule wa wigi wee achaa si nilivopita kwa mangii nkakuta katundika wigi sijui ndo yeboyeboo tena beii cheeee nkaziweka kwenye mfuko kupelekaa et yeye ana zake special sijui roseeee nini