shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Na shughuli za uswaziDera kwenye misiba Baba D
Na shughuli za uswaziDera kwenye misiba Baba D
INAWEZEKANA TU
Nitag plz akijibu![]()
![]()
alosahau mkoba kwako ni dada ako eeeh
Aminia...!Me siangaliii nimesaviwa vipiii hata asiponisave yote kheri T

Si umfate pm kwake kama hapokei simu jamaan
Lol! Kumbe mimi chautundu eeh, wewe ni mpendwa wangu so nawe ni mtundu. Au naongopa

Ndio kazi yake me mwenywe siku moja moja huwa napenda kushinda na deraNa shughuli za uswazi
Nakugawaaa bureeeeWamependezeana ndio maana nkauliza pengine walivyoimba wimbo ukaisha afu wakaendelea na yao![]()

mimi huyuAsante mpendwaaa
Mizuka a.k.a midadiNiwie radhi anko, nilipandwa na mizuka si unajua tena.

Binamu jamaaan unapenda shanga usimfundishe Baba D hizo tabia haxijui hizo shanga...kama wanakatikaga bila shanga ni kuleta mshangao tu
Mama mchuchu hujaufurahia lakini ??Asante Obe Ubarikiwe sana
Ubarikiwe
Sitaki tuu...nahisi kuna Text za wapuuzi fulani zitajaa kwenye Pm yangu..Hata kama umefunga una uwezo wa kumpm mtu
Asante Obe Ubarikiwe sana
Ewaaaa kikubwa naangalia maelewano yetu tunapendana basi ata nikishika simu yake nione sijui sijaseviwa walaaa T huo mda wa kuulizana sina kwakweliAminia...!
Yaaani wewe ilimradi gari unaendesha wewe...! Huitaji kujua kama kadi ya gari imeandikwa jina lako wala nini![]()
Unabeti eeh?!Fainal ni Portugal na Germany..
Watu wa huku wanachekesha...kila kitu wanawaza couple?
Kesho watakuuliza Transcend na Lee Empire ni couple?
![]()
