Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Hapo nimetumia km kifupi cha mpendwaMP ina maana nyingi sana
Ngoja nikae kimya
Hapo nimetumia km kifupi cha mpendwaMP ina maana nyingi sana
Ngoja nikae kimya
Kama hivyoKuzungumza nini shemela
Wamepiga nyimbo yao ina jina la kifaransaSijajua
Nimeweka picha kutokana na alichoandika Obe wamewahi kupiga kolabo
.....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Furaha yako ndo furaha ya anko wangu, asante kwa maua aunty, nimeyapenda. Umenifanya kusikiliza muziki mzuri pia
Turudi kwenye maua, mbona umeyachanganyachanganya utasema 'kolija' (nguo zinazotokana na vitambaa tofautivilivyokatwakatwa- yaani kama a coat of many colors)
Husna huwa anayaweka kimpangilio unakubalika hata na TBS
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7]Asante sana mama watoto wangu
Imebidi tu nicheke Baba D wewe basi tu ila naipenda sana hii nyimbo inachezeka ni maunooo mwanzo mwengaNakupendaa jomooooooon umechaguaa wimbo mtamu kama weww
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Kama umesema sasa hapo sawa, maana ulisema tunamakusudi
Vidumeee haswaaaaaaHongereni jamaan mtu na binamu yake vidumeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weweee mambo yako maliza wewee ...mda wa kupumzika na wifiii hapaaa
[emoji23] [emoji23] hilo najua anajua kuimba shemelaUsije kushangaa shemela
Hivi tulikubarianaa nini bhinamu. ..ujue mm nimetangulia akafata dada angu mdogo wangu
Shemela moyo wangu umeshakufa ganzi ujueInabidi ujue tu shemela wangu maana hamna namna nyingine sasa
Bhinamu akilewaa ndo ananiitagaa tuuAiseee yote yake hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tupo
Tuletee habari za Bashite
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
UnAkosa uhondoHilo jukwaa huwa ni nadra sana kulitembelea
Nmepita mke mweeePouwah umepita kwa iddy watu washamaliza story
Inawezekana akawa anajua historia yaoUnawazaa mapenziii tu wee
Sio damu kweliii??Wangu hata sijui unasukuma nini shemela
Eeeenh sawa binamu akutukanayeFuraha yako ndo furaha ya anko wangu, asante kwa maua aunty, nimeyapenda. Umenifanya kusikiliza muziki mzuri pia
Turudi kwenye maua, mbona umeyachanganyachanganya utasema 'kolija' (nguo zinazotokana na vitambaa tofautivilivyokatwakatwa- yaani kama a coat of many colors)
Husna huwa anayaweka kimpangilio unakubalika hata na TBS
Mimi apaNipo mimi