Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
KabisaaaWord..
Wao mbona wanahaha na sisi...
Wao wafanye vile wanataka! Sisi huku ndio home tunaendelea kama kawaida yetu..
AsanteeView attachment 530236Mpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa BH,Mama mchungaji
Nawatakieni jumapili njema
Yaani unanifahamu vizuri mama yako napenda mauaaa sanaBaba D niliona mama mchuchu katamani mauwa yako imebidi nimpe tu mama yangu na yeye
Big Announcement!!!!!!
Chief kadhi of kenya,Saudi Arabia, Yemen, Oman, United Arab
Emirates, Kuwait, turkey, Iran, Iraq,
Afghanistan, Indonesia, Malaysia, all the
sheikhs, mawlanas, wahabis, sulafis, aleems
have announced that In Sha Allah tomorrow
will be SUNDAY!

Ubarikiwe sanq Sakayo wa T
Mpendwa VP?! Mbona maswali yako ya kimitego hivyoOkay, hii mvua ya kiangazi si mchezo. Ilinyeshea ndani?

Yeah najivunia kuwa mpendwa wakeMpendwa wa husna muba kwenye ubora wake

Hata mimi nimeshangaa sanaNiyonzima tena ??![]()
![]()
![]()
![]()
Nimeona Victor Wanyama mchezaji mzaliwa wa kenya anayekipiga Spurs ambaye kiukweli soka la kenya analipatia sifa ...na kwake pia Jana kwenye mitandao hope ni kweli huku kwetu Dar es salaam ubungo![]()
![]()
kapewa mtaa kwa jina lake ...ok ni nzuri na kiukweli ni heshima kubwa ...swali Langu Huyu Mkenya kasaidia nini hapa kwetu au hapo Ubungo mpka anapewa heshima hiyo kubwa wakati kama kigezo mpira mbona tunao wengi hapa wakongwe na wanaondelea kuipeperusha bendera yetu....
Haijaniingiaa akilini
Ishu imrfanywa kiutalii zaidiNiyonzima tena ??![]()

Wewe hapo uko upande ganiEID MUBARAK kwa walofungua leo, na waliofunga leo nawatakia sikukuu njema kesho
MUNGU ATUBARIKI DAIMA......Muhimu malengo yetu yametimia
1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha)
2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga )
Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
........
WARUMI 8