Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Sio kukuaibisha [emoji23] [emoji23] la doroth hapana shemela kama nakuona na dompo yako tupia picha basi kama siku ileYote majina...bhana ! Wacha kuniaibisha..
Sio kukuaibisha [emoji23] [emoji23] la doroth hapana shemela kama nakuona na dompo yako tupia picha basi kama siku ileYote majina...bhana ! Wacha kuniaibisha..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] k ni k tu...ni Kilimanjaro lager ile chupa yenye nyonga.
Wakajua hapa tayari tunamwanafunzi mlipakodi
Nimekuona[emoji4]
Nimeuona mziki uko vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ujue umenichekesha wewe chautundu kweli lionee
[emoji255] [emoji255] [emoji255] [emoji255]
[emoji38] [emoji38]...ni Kilimanjaro lager ile chupa yenye nyonga.
Wakajua hapa tayari tunamwanafunzi mlipakodi
Sawa loloo! Ila unashibana nae sana! Ikibidi hata kuwa mchepuko wake kubali bibie!Anaitwa Baba Davie
[emoji15] [emoji15] mchepuko na wakati me Mama D wakeSawa loloo! Ila unashibana nae sana! Ikibidi hata kuwa mchepuko wake kubali bibie!
Sweet dreams TWakuu...
Asante sana kwa watu walionipokea Huku makapuku..
I enjoy being with guys...
Nawatakia weekend njema na Eid Njema..
Usiku mwema wakuu.
Deni la anko ulitumia jina lake kukopa au kuna lingine binamu ambacho sijaelewaUmeelewa nini sasa?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] umeshayapata mpendwaNilitaka maua tu na wala si kingine mpendwa wangu. Unajua mimi na maua kama nyuki na asali
Nilijikinga mvua ndio nikausahau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamuuuOkay, hii mvua ya kiangazi si mchezo. Ilinyeshea ndani?
Deni la anko ulitumia jina lake kukopa au kuna lingine binamu ambacho sijaelewa
Kumbeeeeeeeee! [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] , Mkue ktk upendo huohuo milele daima! Hata kifo kisiwatenganishe... hata peponi/ motoni muende pamoja![emoji15] [emoji15] mchepuko na wakati me Mama D wake
Sawa binamu naomba kesho uniwekee eloko oyo ya fally ipupa hata kudhamini nitadhamini binamuEWaaaa, hakuna jingine. Yaani umeelewa kiusahihi kabisa kama mwanafunzi anayekaa kiti cha mbele darasani
AiseeeeKumbeeeeeeeee! [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] , Mkue ktk upendo huohuo milele daima! Hata kifo kisiwatenganishe... hata peponi/ motoni muende pamoja!
Sawa binamu naomba kesho uniwekee eloko oyo ya fally ipupa hata kudhamini nitadhamini binamu
Asante binamu yangu mimi apaIt's a date. Hii nitaipandisha kesho bila kuchelewa. Asante kwa kudhamini
UbarikiweWakuu...
Asante sana kwa watu walionipokea Huku makapuku..
I enjoy being with guys...
Nawatakia weekend njema na Eid Njema..
Usiku mwema wakuu.