Muziki: JNS
Huwa wanasema siku hazilingani, yeah! Yaani ni kama vidole katika kiganja chako. U khali gani siku hii (siku, usisikie tumbo la kujamba nikiandika kuhusu siku, kila mmmoja ana siku yake, ni suala la muda tu). Naimani wikend hii ni njema sana kwako kama ilivyo kwangu.
Makapuku ni kama kokoro, kila siku ninaandika, na kokoro huja na vyote. Litakuletea vya kufurahisha siku yako na kuikarahisha. Yote kwa yote, furaha ya siku yako unaitengeneza mwenyewe, nimeamua kuitengeneza furaha yangu kwa kushare na wewe muziki bila kujali kama nakukwaza au nakwazuka. Ni maisha na tuko hapa kufurahia uwepo wa kila mmoja kwa raha na karaha. Nakufurahia amini hivyo.
Muziki sasa, Peter Andre, naimani unamkumbuka miaka ya 90. Alifanya izuri sana wakati huo muziki wa Dancehal unashika kasi, yaani uko juu na sijui mengi kuhusu yeye ila najua ni mwambaji zaidi ya mpiga vyombo vya muziki.
Burudika na wimbo wake mzuri ambao nimeutoa YouTube nikiamini kabisa utakuwa na wakati mzuri.
JNS- Jumamosi Ni Siku

Sakho naye yupo zanzibar kutalii, juzi kaangalia game ya taifa jang'ombe na mlandegeIshu imrfanywa kiutalii zaidi
Atavutia wengine Kuna bongo
Pia huko Ulaya wataandika "Wanyama apewa mtaa bongo"
........
Hakika![]()
![]()
kabisa tukiacha utani wa hapa kiukweli kapuku kuna mambo mengi ya msingi kujifunza na kuelimishana na pamoja jinsi ya kuishi na watu
Kapuku wengine ndo faraja yetu ...ukiingia humu unajisahulisha mengiii
Mm rafiki ninaoo hapa ...
Mpenzii ninayeeee
Maarifa kila siku napata ...
Mungu anipe nini kama sio gunia la chawa
Kwa hicho la utalii wapo sawa maana tu naye Sammata pekeeSakho naye yupo zanzibar kutalii, juzi kaangalia game ya taifa jang'ombe na mlandege
Kaandika Bitoz na ninaongezea bila ruhusa (nimeacknowledge though)
Muhimu malengo yetu yametimia (na kutimia kwake hakutufanyi tukalewa sifa, Toyoda alipotengeneza gari aliendeleza ujuzi hadi leo tuna Toyota)
1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha) --- na bado tunaendelea kuwa karibu
2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga ), ujinga ujinga na name calling ni ngumu kuukwepa humu, Makapuku ni bahari Majahazi yapo na boat mwendo kasi zipo
Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
![]()
