Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Sitaki tena hiyo jezi baba d kasema ataninunuliaEeeh!
wewe hujui hii stori imeanzia wapi
Sitaki tena hiyo jezi baba d kasema ataninunuliaEeeh!
wewe hujui hii stori imeanzia wapi
Achana na zile za kariakoo..Ntakununuliaaa
Pole sana kwa uchovu Baba DNiko poa love japo uchovu kidogo si unajua safar
Labda tungekuwa tunashindania kuingiza mkwanja ningehamasisha humu tusilale ili tuwe tunashindana kupost na kupeana malikeWord..
Wao mbona wanahaha na sisi...
Wao wafanye vile wanataka! Sisi huku ndio home tunaendelea kama kawaida yetu..
Labda tungekuwa tunashindania kuingiza mkwanja ningehamasisha humu tusilale ili tuwe tunashindana kupost na kupeana malike
![]()
![]()
![]()
Binafsi sioni hasara yoyote sijui huu uzi kupitwa wingi wa post wala sijui nini .....kwanza post zikiwa nyingi tena za sijui mtu kujisemrshasemesha utafikiri kapandisha mashetani huwa zinasumbua tu kuskip page
......


Worry outAchana na zile za kariakoo..
Agiza kitu kabisa $80-85 tuu..
AsanteePole sana kwa uchovu Baba D
Ataagiza hakuna shidaAchana na zile za kariakoo..
Agiza kitu kabisa $80-85 tuu..
Big Announcement!!!!!!
Chief kadhi of kenya,Saudi Arabia, Yemen, Oman, United Arab
Emirates, Kuwait, turkey, Iran, Iraq,
Afghanistan, Indonesia, Malaysia, all the
sheikhs, mawlanas, wahabis, sulafis, aleems
have announced that In Sha Allah tomorrow
will be SUNDAY!

Wii kesho hakuna Eid
J3 mamy inshallahWii kesho hakuna Eid
J3 mamy inshallah
Wivu unamsumbua huyoNamuonagaa sijui anataka nn
Mechi laini mno hiyo, source yao ndio inawafanya waoneshe ya urenoDuh sikujua mapema
Game la Ureno nimeachana nalo
....
HawaoneshiHivi k24 kama unatumia azam hawaoneshiii ??