Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji3][emoji3]

Si bora ukalishe mbuzi wako mkuu..
Muhimu malengo yetu yametimia

1/Wengi tumekuwa marafiki hapahapa pia hadi nje ya JF(wengine hadi wamekuwa wapenzi.....wengine kusaidiana hadi kwenye shida na raha)

2/Tunajifunza mengi humu kupitia post mbalimbali haswa segment hivyo tumeongeza maarifa(wapo pia wanaJf kibao tu wanaitegemea hii thread kupata mawili matatu hadi wazee wanaingia kufuatilia segment maana hawakutani na matusi wala ujingaujinga )

Hayo ndo malengo yetu makuu na tunayatimiza
God bless Makapuku
........
 
Back
Top Bottom