Makapuku Forum

Makapuku Forum

28a0ba6d3b173f233880a3456e3ae87f.jpg
Hahaha
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Tukielekea kwenye msimu mpya wa masomo

Wale wote wenye ndugu, Watoto Jamaa,Marafiki au wao wenyewe kama wanahitaji kujiunga na Chuo Kikuu Cha Kimataifa cha Kampala (Kampala International University-KIU) Tawi la Dar es salaam kwa kusoma kozi mbalimbali katika fani ya Biashara, Afya, Sayansi ya jamii, Elimu, Sheria na Sayansi ya Computer katika ngazI zote kuanzia Cheti, Diploma, hadi Degree fomu zinapatikana popote ulipo kwa kuwasiliana na Mr Hommy Sasya kwa simu no +255715896366
"Exploring the Heights"
Why HIM...SAMAHANI KWANINI TUSIWASILIANE NA CHUO ILA HUYU?NAPATA SHIDA NIKIONA MATANGAZO HAYA
 
Ni kweli, mimi nina ushahidi wa wahanga, baada ya kurudi shule walifanya vizuri zaidi, kuna mmoja sasa anachukua PhD Australia, lakini asingeendelea na shule ndio ingekuwa mwisho wa maisha yake
Tuwaombee sana watoto...ndio maana wanaitwa watoto..wakati mngine tujiulize tulipokuwa watoto ilikuaje?kila mtu anahistoria yake katika mapito ya utoto bila kusaidiwa tusingekua hapa tulipo...hata mkuu naye alikua mtoto alifikaje alipo hakuna aliyezuka tu na kuwa kama alivyo hakika tukitafakari tulikotoka tutakua na sababu ya kuwaona watoto wetu na wa wenzetu kwa jicho tofauti...sio vzr kusema yeye anamtoto anachagamoti kiafya kila siku anaenda kwa TB Joshua ...hata TB Joshua alipokuja aliongea sana na yule mtoto kwa upendo na concern tuliona live ......mbona hajamuacha...jamani Mungu atusaidie.
 
Niyonzima tena ??

Nimeona Victor Wanyama mchezaji mzaliwa wa kenya anayekipiga Spurs ambaye kiukweli soka la kenya analipatia sifa ...na kwake pia Jana kwenye mitandao hope ni kweli huku kwetu Dar es salaam ubungo kapewa mtaa kwa jina lake ...ok ni nzuri na kiukweli ni heshima kubwa ...swali Langu Huyu Mkenya kasaidia nini hapa kwetu au hapo Ubungo mpka anapewa heshima hiyo kubwa wakati kama kigezo mpira mbona tunao wengi hapa wakongwe na wanaondelea kuipeperusha bendera yetu....

Haijaniingiaa akilini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom