Makapuku Forum

Makapuku Forum

8/Vikas Uppal
317eca9981b50f4a74c973e1db46f6bd.jpg
ea0444ecded3560508b09b63fd39c7d7.jpg
4cda0bdb4c909e1dcc4f3ae55d758c11.jpg
Alizaliwa huko Haryana India na kuishi maisha mfupi maana alifariki mwaka 2007 akiwa na miaka 21 tu
Hakuwahi kupigwa urefu wake na watu wa kitabu cha Guinness ila vyanzo mbalimbali nchini vilikuwa na rekodi zake
Alifariki dunia huku akiwa bado anarefuka hivyo asingefariki mapema pengine angeweka rekodi ya kipekee
Alikuwa na urefu wa Futi 8 na inchi 3
......


R I P
 
5/Edouard Beaupre
11ed65ada0cae5de53085682a0ebf6f6.jpg
87c080d868abe201312cc42d26e300c9.jpg
80a296c80a6c331d3797563747e378b9.jpg
Alikuwa ni Mkanada mwenye asili ya Ufaransa aliyezaliwa 1881
Utotoni alikuwa na ndoto ya kuwa cowboy lakini alipofikisha miaka 21 akaghairi baada ya kugundua amejaaliwa mabavu
Aliwahi kushiriki mieleka{wrestling) na kumshinda mtu aliyeaminika kuwa na nguvu zaidi duniani Louis Cyr
Alikuwa urefu wa futi 8 na inchi 3
.....
 
Kapuku Tv..

Nitakuwa na Segment mpya ya Kapuku Tv.

Kapuku Tv itakuwa inakuja na link za Youtube zikiwa na video moja kila siku ;

Video hizo zitakuwa za;

1. Vioja au Comic scene video
2. Michezo
3.mziki
4. Habari za kiasiasa
5. Science
6.n.k

Note;

Zitakuwa ni video fupi za dakika 1 - dakika 5 ili kutokuboa mtazamaji.

Karibuni wakuu.
Asante mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom